Kwa mfano!

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,579
Reaction score
1,821
Kama Twiga walikwea pipa, what if huu mlima ungekuwa una move...
 
Attachments

  • 1444734244916.jpg
    15.5 KB · Views: 580
Teh teh teh teh teh teh teh teeeeeeh! Mbona hata Kenya wangeshatuibia kwa sababu huwa wanautambulisha kuwa upo kwao
 
Yaan Kenya wanajua wakwao..hasa vikongwe ambao hawajasoma...#Suday
 
Kwa mfano, Lowasa ashinde alafu bahati mbaya ashindwe kuongoza! ngekewa inaenda kwa Babu Duni!! teh teh!
 
Kwa mfano, Lowasa ashinde alafu bahati mbaya ashindwe kuongoza! ngekewa inaenda kwa Babu Duni!! teh teh!
Au Magufuli ashinde alafu bahati mbaya ashindwe kuongoza! ngekewa inaenda kwa Bibi Samia!! teh teh!
 
Au Magufuli ashinde alafu bahati mbaya ashindwe kuongoza! ngekewa inaenda kwa Bibi Samia!! teh teh!

bora duni kulko samia...... yule mama atakua anaingiza serengeti boys ikulu ama????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…