Uchunguzi wa kina na wa kweli wa kwa nini CDM imeambulia kata 5 tu katika chaguzi za kata za hivi karibuni umebaini kuwa mwaka 2015 CCM wana uwezekano mkubwa wa kushinda iwapo tutaendelea kupiga kura kwa kutumia kadi hizi tulizo nazo.
Kwa mfano Kata mojawapo ya mkoani Shinyanga CCM wameshinda kwa kura 200 huku wakiwa wamenunua kadi 700 kwa Shilingi elfu 20 kila kadi sawa na shilingi milioni 14 kwa kadi zote 700. Shinyanga mjini kuna kata 17 wanazoweza kununua kwa milioni 238 kama wakiamua. Milioni 238 si pesa kubwa kwa matajiri wa CCM hata mmoja tu anaweza kuzitoa.
Ujinga ni mwingi kwa wapiga kura wengi na njaa ni kali! wanakubali kirahisi kuuza kadi zao kwa elfu 20 tu tena wanajipeleka wenyewe!
Ili kudhibiti mbinu hili chafu, cha kufanya ni kutafuta uwezekano wa haraka wa namna gani Watanzania tupige kura bila kutumia kadi hizi zinazonunulika kirahisi.
elimu ya uraia itafafaa kama tumboni kuna chochote.elimu ya uraia ndo dawa pekee juu ya madudu haya yanayoendelea
Watanzania hawataki kabisa siasa za fujo,vurugu,mauaji na kupigana kama ilivotokea singida,morogoro na iringa
Sorry Hii Sii Kweli!.
CCM itashinda tena 2015 kwa sababu zile zile zilizoifanya CCM ishinde chaguzi zilizotangulia kwa ku capitalize on Tanzanians ignorance!.
Chadema kupitia M4C are doing "the right thing" kuwaelimisha Watanzania maovu na mapungufu ya CCM!. Ili kupata kura za kutosha 2015, doing the right thing alone is not enough!, they got to "do things right" kwa kuwapatia Watanzania solid reasons to vote in CDM!. Lazima kijipambanue kitafanya nini tofauti na CCM!.
Hivyo 2015 CCM itashinda tena sio kwa sababu inapendwa sana!. No!. Itashinda kwa mtindo wa "zimwi likujualo!" kwa sababu mpaka sasa hakuna mbadala!.
P.
CCM haihitaji mbinu kushinda,watashinda kwasababu hawana mpinzani.

Mkuu RR , usiwe na mashaka na nia katika jumbe zangu! just seek the truth, and the truth will set you free!. Tatizo ukweli ni mchungu!.Nakumbuka hata uliandika uzi huko nyuma wenye kiini hicho ulichotaja hapo. Sina shaka na mantiki yako ila unapokataa/kupuuza factors nyingine nadhani unapotoka kidogo mkuu Pasco. Hapo ndipo napopata na mashaka juu ya nia ktk jumbe zako
Sorry Hii Sii Kweli!.
CCM itashinda tena 2015 kwa sababu zile zile zilizoifanya CCM ishinde chaguzi zilizotangulia kwa ku capitalize on Tanzanians ignorance!.
Chadema kupitia M4C are doing "the right thing" kuwaelimisha Watanzania maovu na mapungufu ya CCM!. Ili kupata kura za kutosha 2015, doing the right thing alone is not enough!, they got to "do things right" kwa kuwapatia Watanzania solid reasons to vote in CDM!. Lazima kijipambanue kitafanya nini tofauti na CCM!.
Hivyo 2015 CCM itashinda tena sio kwa sababu inapendwa sana!. No!. Itashinda kwa mtindo wa "zimwi likujualo!" kwa sababu mpaka sasa hakuna mbadala!.
P.
Wewee,wananchi wanachagua sera nzuri na zinazotekelezeka acha kujidanganya.
Sorry Hii Sii Kweli!.
CCM itashinda tena 2015 kwa sababu zile zile zilizoifanya CCM ishinde chaguzi zilizotangulia kwa ku capitalize on Tanzanians ignorance!.
Chadema kupitia M4C are doing "the right thing" kuwaelimisha Watanzania maovu na mapungufu ya CCM!. Ili kupata kura za kutosha 2015, doing the right thing alone is not enough!, they got to "do things right" kwa kuwapatia Watanzania solid reasons to vote in CDM!. Lazima kijipambanue kitafanya nini tofauti na CCM!.
Hivyo 2015 CCM itashinda tena sio kwa sababu inapendwa sana!. No!. Itashinda kwa mtindo wa "zimwi likujualo!" kwa sababu mpaka sasa hakuna mbadala!.
P.[/QUOTE
Mkuu P.
Napenda hoja zako, ila kukataa kwamba mbinu au mkakati wa kununua kadi zakupiga kura sio mbinu ya sism ktk ushindi wao, utakuwa sio sahihi.
CDM kujitofautisha nini itafanya tofauti na sism isiwe sababu yakutopewa dola. Wote wanaweza kuwa na sera sawa lakini utekelezaji wake ukawa tofauti. Nionavyo mimi maendeleo tuliyonayo compared na miaka ya utawala wa sism haviendani. There is a need of change in the current constitution to political party. Ukweli ni kwamba hatuwezi kusonga mbele kama viongozi serikalini wanaongoza kwa kulindana ktk maovu.
Kura 29000 kwa kata 22!!kura 20000 kwa kata TANO!!jogging pia ni mbio.