Wana jamvi tumekuwa tukishuhudia matusi kutoka kwa Nape Nauye kupitia mikutano yake ya kampeni dhidi ya viongozi wa vyama vya upinzani huku tume ya taifa ya uchaguzi ikiyafumbia macho, ni wakati muafaka wananchi wa jimbo la Mtama kukataa kumchagua kiongozi wa kutukana.
Hayo unasema wewe, tuoneshe hilo tusi liko wapi?
Hayo unasema wewe, tuoneshe hilo tusi liko wapi?
muombe Mungu akupe hikmaHayo unasema wewe, tuoneshe hilo tusi liko wapi?
Kiboko yake Mzee makamba, alimfukuza ccm na kumfuta uanachama harafu akamwambia aliyekataliwa duniani amekataliwa na mbinguni. Chezea Mzee makamba wewe
Ni dhahiri wameshikwa pabaya ndio maana wamepanic ila huyu jamaa huwa namuona ni chizi fresh tangu ata kabla ya hekaheka za kampeni. Hivi huwa hagongi kweli vyombo huyu..
VIVA UKAWA!!!
Hayo unasema wewe, tuoneshe hilo tusi liko wapi?