Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Hadi leo sijawahi kujua kwanini asilimia kubwa ya wachawi na washirikina ni Wanawake.
After all hawa ndio Mama zetu tuishi nao hivyo hivyo.
Kaka Muuza simu used weka mkasa wako hapa tukusaidie mawazo kaka
"Moana" I really like this name.Nonsense
Mwanamke ni mwepesi kudanganyika na kutishika, but wachawi wakubwa walio enda shule kabisa wengi ni wanaume.Hadi leo sijawahi kujua kwanini asilimia kubwa ya wachawi na washirikina ni Wanawake.
After all hawa ndio Mama zetu tuishi nao hivyo hivyo.
Nonsense