Hongera sana, dogo kafanya vizuri:
Kozi: Udaktari, Famasia, Uuguzi(Bsc in Nursing) na hizo zilizotajwa hapo juu na watoa hoja.
Muhimu: Chuo atachochagua.
Asiguse vyuo vifuatavyo katika Udaktari na Famasia: Muhimbili (MUHAS), Mlimani (University of Dsm), Dodoma. Hivyo avisahau.
Vyuo vya kuchagua: KCMC, Bugando, Kairuki( angalia kwanza mfuko wako, ada ni milioni 7/mwaka).
Kila la heri.
Million 7
hahaha eti kavu kavuYes, Kama hujapata mkopo unazitoa hizo kavu kavu. Ukipata mkopo 100% (3.1 milioni) unatoa kama 4 milioni.
Hongera kwake..mshauri akifika chuo ajaribu kuomba kuhamia MD.Asanteni wakuu.. Dogo kapata nursing Udom.