GanaJr
Senior Member
- May 26, 2020
- 109
- 172
Kuna mdogo Wangu wa kike kamaliza form six mwaka huu na kupata division two ya point 10 kwa combination ya PCB.
Kwa Hali iliyopo sasa hivi pamoja na competition kubwa kwa kozi za afya hasa udaktari naombeni mnishauri aombe kozi gani ya afya ili aepuke kutemwa kwenye raundi ya kwanza ya kuomba vyuo.
Matokeo yake ni Kama ifuatavyo
Physics D
Chemistry C
Biology C
Naomba mnisaidie na kupendekeza vyuo vya kuomba kabisa ili Leo hii dogo aanze kufanya mchakato wa kuomba.
Karibuni sana wakuu wangu.