Kwa mara ya nne ndani ya siku 8 vikosi vya Marekani vyazuia Majeshi ya Urusi kuteka Visima vya Mafuta

Duh!.. Yaani mkuu unaamini hapo awali Marekani iliondoa askari wake huko Syria kwa kuogopa uvamizi wa Uturuki?

Uturuki hii ya Erdogan iitishe Marekani?..
Uturuki ukitazama rank ya majeshi bora duniani tokea 2014 sijawahi ona inakosa katika top ten, kabla ya hapo sijui. Marekani hii ilishindwa vita ya Vietnam na mapigano ya Somalia, zote mbili hazijawahi kuwemo hata top 30 ya majeshi bora duniani.
 
Unataka kusema Marekani iliwakimbia Waturuki ( washirika wenzao wa NATO)?

Uturuki kwa Marekani bado ni underdog tu.
Ni washirika wa NATO kwa maslahi yao. Wewe ushasikia nchi yoyote ya NATO inataka kununua silaha muhimu za Urusi? Uturuki wanataka kuchukua S-400 air defense system. Na mbona wana uhasama na Ugiriki ambaye ni member wa NATO. Hakuna wanachama wa NATO wengine wenye uhasama mbaya kama hawa. In short Turkey hayumbishwi.
 
Mkuu 'Lee van cliff' hata wewe unaamini Marekani iliwakimbia Waturuki huko Syria?

Kuna mdau anasema kama Marekani inataka Vita basi ikawasaidie waasi wa Idlib huyu mdau hakumbuki kuwa:

. Hao waasi wa Idlib wanasaidiwa sana na Uturuki hivyo huo ni mzigo wa Uturuki sio Marekani.

.Waasi wengi walioko Idlib ni wale wenye itikadi kali za kidini kama 'Tahrir Al sham' ambao ndio wenye nguvu pia awali walikuwa wakijiita 'Jabhat Al nusra' na pia walikuwa na mafungamano na Al-qaeda ( adui wa Marekani) Sasa unategemea Marekani iwasaidie waasi kama hao kweli?

.Hapo awali kulikuwa na makubaliano kati ya Uturuki na Urusi ambapo Uturuki ingehusika kuyavunja makundi yenye itikadi kali Kama 'Tahrir Al sham' ili wasishambuliwe na Urusi lakini Uturuki imeshindwa kutekeleza ahadi yake ndio maana Urusi na Assad wanawashambulia, sasa hapo Marekani inaingiaje kuwaokoa hao magaidi?
Kipindi vita inaanza Qatar, Turkey na Saudi Arabia walimshawishi Obama asaidie makundi yaliyompinga Assad. Obama akasita lakini akakubali badae.
Turkey akaanzisha makundi mwenyewe.
Qatar ikatoa msaada wa fedha kiasi tu.
Saudi Arabia wakatoa fedha kununulia silaha waasi. Iran ikaona Wassuni wote wanampinga Assad hivo watamuondoa na kumuweka pro-Sunni govt.
Iran akaingia mzigoni akatengeneza vikundi vya kumtetea Assad (General Soleimani alifanya kazi hii)
Ikagundulika silaha nyingi za waasi zinatoka Libya kwenye yaliyokuwa maghala ya Ghaddafi. Na nyingine zinatoka iliyokuwa Yugoslavia.
Kule Libya balozi wa U.S ndo alikuwa mratibu wa zoezi hilo, akauwawa kwenye shambulizi la kigaidi palepale ubalozini (inasemekana hii ni kazi ya General Soleimani wa Iran aliyeuwawa majuzi). Baada ya hapa silaha hazikutoka Libya tena.
Wakati huo Israel inatoa msaada kwa waasi wa Assad, hasa ushauri tu. Kuna siku Urusi ilishambulia andaki la waasi wakashangaa kujua kuna Waisrael walikuwemo wakauwawa.
Kwa ushaidi huu wote unataka kupinga kwamba U.S hakusaidia magaidi?
 
Kwa hiyo Mkuu wangu Sexer,sasa hivi lengo la Marekani limebadiliha hapo Syria?,sio kumtoa Assad tena ? limekua swala la wese?,hivi unamini maeneo aliyowahi kufika ama kuyashika Russia hapo Syria US anaweza kumtoa?.Kwa hiyo sasa kwa US Assad kubaki madarakani ni halali?
Za kuambiwa changanya na za kwako! Wamtoe Assad ili uchumi wa US upande?! au ulitaka waseme kabisa tunaenda Syria kuchota wese?! Yaani ulitarajia kabisa waseme hivyo! Ujue tu hizo ni biashara za wakubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ASSAD MUST GO
Alisikika Mpuuzi Mmoja kutokea Pale WHITE HOUSE Akiropokwa au wamebadili kauli mbiu ila

All is well

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Za kuambiwa changanya na za kwako! Wamtoe Assad ili uchumi wa US upande?! au ulitaka waseme kabisa tunaenda Syria kuchota wese?! Yaani ulitarajia kabisa waseme hivyo! Ujue tu hizo ni biashara za wakubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani walivomtoa Ghadaffi uchumi wao ulipanda? Vipi walipomtoa Saddam uchumi wao ukapanda kisa ya kuondoka kwake? Acheni kujifanya mnabadili gia angani, walienda kumtoa wakashindwa.
 
Nawe hujiulizi kama lengo ni kumtoa Saddam mbona baada ya Saddam kutoka na baadae kuuwawa waliendelea kubaki wakati kilichowapeleka wameshatimiza?!

Mbona unataka tutumie kauli zetu badala ya kutumia kauli rasmi zilizotolewa na US govt. Kwani wapi walisema wakishamtoa Saddam wanaondoka? Sasa kwanini utake waondoke wakati hawana kizuizi wala upinzani, na nia ya kubaki wanayo.

"Assad Must Go" ni kauli iliyotolewa tangu Hillary Clinton ni Secretary of State, akaja John Kerry, akaja Rex Tillerson mpaka sasa yupo Mike Pompeo wote hawajafanya kitu.

Nia ya kumtoa Assad wanayo, kutamani wanatamani, HUWEZO HAWANA. Nani kawanyima uwezo >>>> Rossiyskaya Federatsiya au tuseme Российская Федерация au tusichanganyane tuseme tu RUSSIA.
 
Inaonekana unaamini sana kauli za marekani! na bila shaka uliamini saddam ana chemical weapons, Au labda unaamini tu zile unazopenda kuzisikia?
Hivi Kweli inahitajika elimu ya chuo kikuu kung'amua kwamba unapotaka kufanya maslahi yako katika himaya isiyo yako ni lazima utafute sababu ya kueleweka kwa jamii ingawa nyuma ya pazia ujua unachokifanya!! Ulitarajia kabisa US aitangazie dunia kwamba anaenda Syria kupiga dili! Hakuna mjinga wa namna hiyo make hata mwanasiasa anayegombea uongozi kwa lengo la kipiga dili hasemagi, bali husema ataleta maendeleo ingawa sio lengo lake.
Pia Urusi pale yuko kwa maslahi yake wala sio kwa maslahi ya Assad wala wasyria

Kama walisema ASSAD MUST go Halaf Ulitaka Tusiwaamini nakama wasingekua na nia walienda kufanya nn SYRIA Kama IRAQ Hakukua Na Silaha Ila Ilikua Lengo Aondoke SADDAM Ili Wapate Kuikalia IRAQ Kama Wanavyofanya Sasa

RUSSIA Anamlinda ASSAD Sababu Kuwepo Kwa ASSAD Ndio Kuwepo Kwa MASLAHI Yake

US Wameiharibu SYRIA Kama walivyotamani Ila Ila Wameshindwa Kumtoa ASSAD Kama Walivyosema...

Kumbe unaamini Iraq walisema ambacho sicho kilichowapeleka,
Lakini unaamini Syria walichokisema ndicho kilichowapeleka!! hahahah!
Sasa kama unaamini wakisemacho kwanini usiamini na kile walichokisema kuhusu Iraq?! na kama huwaamini kwanini usiamini na walichokisema kuhusu Syria?!
Kumsaidia Assad ni urusi kuwatandika wavamizi wa Syria na kuwarusha nchini Syria, je ana huo msuli?! Russia anajua mahala ambako US yuko ndani ya Syria lakin sasa anaujua msala wa kusogezako hata pua tu.

Kwan US Hajui Alipo RUSSIA Huko SYRIA Kamfanya Nini ?!

Kwa IRAQ Uta Amini Vipi Wakat Unajua Alichokisema Kipo Hakipo Na Hakijaonekana Mpaka sasa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana unaamini sana kauli za marekani! na bila shaka uliamini saddam ana chemical weapons, Au labda unaamini tu zile unazopenda kuzisikia?
Hivi Kweli inahitajika elimu ya chuo kikuu kung'amua kwamba unapotaka kufanya maslahi yako katika himaya isiyo yako ni lazima utafute sababu ya kueleweka kwa jamii ingawa nyuma ya pazia ujua unachokifanya!! Ulitarajia kabisa US aitangazie dunia kwamba anaenda Syria kupiga dili! Hakuna mjinga wa namna hiyo make hata mwanasiasa anayegombea uongozi kwa lengo la kipiga dili hasemagi, bali husema ataleta maendeleo ingawa sio lengo lake.
Pia Urusi pale yuko kwa maslahi yake wala sio kwa maslahi ya Assad wala wasyria

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi tusiende mbali, Marekani imeshindwa kumtoa Assad kama hutaki Google jina la rais wa sasa Syria ni nani tuone kama utapata tofauti na huyu. Haya masuala ya kuleta opinions zako na kuzifanya ndo sera za serikali yao as if uko member wa DoD ni kutapatapa. Obama, Clinton na Secretary Genarals wote hawamtaki Assad bado unasema "tusiamini kauli zao" kwamba unataka tuamini zako wewe kama nani. Kama vipi kwanini walimtoa Ghaddafi kwanza, si wangechukua mafuta akiwepo, kwanini walimtoa Saddam si wangechukua mafuta akiwepo. Assad wameshindwa kwakuwa Russia wapo. Endelea kujifariji ati "tusiamini kauli zao" kwamba ni mapopoma siku hizi. Kwahiyo na kule Vietnam walikuwa hawataki ushindi wakajifelisha wenyewe, kule Korea "tusiamini kauli zao" kuwa walishindwa bali walitaka wenyewe iwe vile. Na Somalia sera zao zilitaka waende wapigwe helicopter yao idondoshwe, waburuzwe mitaani, wauwawe. Yote hayo walipanga yatokee lakini "tusiamini kauli zao" walizosema wanaenda kuleta amani.
 
Kwan US Hajui Alipo RUSSIA Huko SYRIA Kamfanya Nini ?!

Kwa IRAQ Uta Amini Vipi Wakat Unajua Alichokisema Kipo Hakipo Na Hakijaonekana Mpaka sasa....

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unarukaruka tu kama bisi kikaangoni! Sasa US amfanyaje Russia wakati yeye kaenda kwa dili zake kabla hata Russia hajaendako, Ila nyie si mnabwabwaja hapa kwamba Russia alienda kupambana na US kuisaidia syria, basi aende sasa akawatimue US Syria na huko ndo kuisaidia Syria,

Na kwa Syria utaamini vipi wakati alichosema anaenda kufanya hajakifinya?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi tusiende mbali, Marekani imeshindwa kumtoa Assad kama hutaki Google jina la rais wa sasa Syria ni nani tuone kama utapata tofauti na huyu. Haya masuala ya kuleta opinions zako na kuzifanya ndo sera za serikali yao as if uko member wa DoD ni kutapatapa. Obama, Clinton na Secretary Genarals wote hawamtaki Assad bado unasema "tusiamini kauli zao" kwamba unataka tuamini zako wewe kama nani. Kama vipi kwanini walimtoa Ghaddafi kwanza, si wangechukua mafuta akiwepo, kwanini walimtoa Saddam si wangechukua mafuta akiwepo. Assad wameshindwa kwakuwa Russia wapo. Endelea kujifariji ati "tusiamini kauli zao" kwamba ni mapopoma siku hizi. Kwahiyo na kule Vietnam walikuwa hawataki ushindi wakajifelisha wenyewe, kule Korea "tusiamini kauli zao" kuwa walishindwa bali walitaka wenyewe iwe vile. Na Somalia sera zao zilitaka waende wapigwe helicopter yao idondoshwe, waburuzwe mitaani, wauwawe. Yote hayo walipanga yatokee lakini "tusiamini kauli zao" walizosema wanaenda kuleta amani.
Wamarekani wako Syria kwa Assad tena bila Assad kupenda na hana cha kuwafanya, na wanacontrol hadi visima vya mafuta lakin Assad hana la kufanya, lakini wasyria hawana ubavu wakufaingia US kibabe na wakatazamwa tu. Watachakazwa. Hata jiwe hawezi kubali nchi yake kukaliwa kibabe na taifa lingine kama huyo Assad wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona unarukaruka tu kama bisi kikaangoni! Sasa US amfanyaje Russia wakati yeye kaenda kwa dili zake kabla hata Russia hajaendako, Ila nyie si mnabwabwaja hapa kwamba Russia alienda kupambana na US kuisaidia syria, basi aende sasa akawatimue US Syria na huko ndo kuisaidia Syria,

Na kwa Syria utaamini vipi wakati alichosema anaenda kufanya hajakifinya?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nnaeruka mm au ww

Al Assad Ndio Rais Halali Wa SYRIA No More...

Kama wanauwezo wakamtoe kama walivyotaka....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamarekani wako Syria kwa Assad tena bila Assad kupenda na hana cha kuwafanya, na wanacontrol hadi visima vya mafuta lakin Assad hana la kufanya, lakini wasyria hawana ubavu wakufaingia US kibabe na wakatazamwa tu. Watachakazwa. Hata jiwe hawezi kubali nchi yake kukaliwa kibabe na taifa lingine kama huyo Assad wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe Wamarekani wakija hapa utawafanya nini? Mbona unaweweseka hivo. Point ni kumtoa Assad, je katoka? Basi tufanye walimtoa wakashinda, tutajie rais wa Syria sasa.
 
Sasa kama wanafanya dili zao na yeye yupo ametulia umeufyata kuna shida gani?! Hata jambazi ukiachia mtonyo halikuui. Assad kashindwa kuwafanya kitu US wakati wako nchini kwake kibabe na bado huoni Assad ni dhaifu kwa US

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom