Kwa mara ya nne ndani ya siku 8 vikosi vya Marekani vyazuia Majeshi ya Urusi kuteka Visima vya Mafuta

Marekani ni vitisho tu!! Meno hamna! Siku Syria wakitangulia kuchukua mafuta yao, huku nyuma wakilindwa na Urusi, habari yake utaipata!!
 
Hakuna kitu Russia ataweza kufanya hapo, hawawezi kutwaa hizo oil fields toka kwa the powerful US military.
Wao waendelee kumlinda Assad tu, that's little they can afford. Wanajeshi 500 tu wanawatoa kamasi...!!!
 
Russia alienda Syria kuipiga ISIS na kumlinda Assad. US alienda kumwondoa Assad na kuwasaidia washirika wa ISIS na waliompinga Assad. Mpaka sasa kilichotokea mnakijua. Hivi visima vichache vya mafuta ni kama kachumbali kwenye chakula, lengo kuu ni chakula kachumbari kusindikizia tu.
 
Marekani ameshapata anachokitaka huyo Assad wanini tena sasa?
Marekani alienda kumtoa Bashar al-Assad na kuiendeleza ISIS na 'moderate lebels' kama anavyowaita. Tena alitaka iwepo coalition ya uongozi na Assad asiwepo, Russia na Syria wakajitoa kwenye mazungumzo na waasi wakabaki na umoja wao uko UK. Mpaka sasa moderate lebels hawajafika popote, Assad ni rais wa Syria, ISIS imekwisha nguvu. Hizi hoja za ameshapata anachokitaka sijui unazitoa wapi. Umeingia uwanjani ukafungwa point tatu ukapoteza afu unadai ulipiga chenga nyingi.
 
Tunasubilia kuona,maana Jana usiku ubalozi wa marekani ulishambuliwa na Trump aliahidi iwapo mmarekani atajeruhiwa kwenye ubalozi wao Baghdad,watashambulia target 52 ndani ya Iran,
Trump Yuko kimya tangu Jana usiku
Hana uwezo wa kuifanya Iran chochote. Kwa sasa anafuatilia impeachment trial ambayo pia inamuendea vibaya sana. Na hawezi kuingia vita na Iran maana ameshapigwa kufuli na Congress. Iran inawatumia washirika wake kimya kimya na wanainyima usingi US kweli kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani alienda kumtoa Bashar al-Assad na kuiendeleza ISIS na 'moderate lebels' kama anavyowaita. Tena alitaka iwepo coalition ya uongozi na Assad asiwepo, Russia na Syria wakajitoa kwenye mazungumzo na waasi wakabaki na umoja wao uko UK. Mpaka sasa moderate lebels hawajafika popote, Assad ni rais wa Syria, ISIS imekwisha nguvu. Hizi hoja za ameshapata anachokitaka sijui unazitoa wapi. Umeingia uwanjani ukafungwa point tatu ukapoteza afu unadai ulipiga chenga nyingi.
Aisee wewe jamaa kichwa chako kinafanya kazi safi sana,maana sasa US wanadili na mafuta tu,lengo lao la kumtoa Assadi limeshindikana.
Nadhani mtoa mada pia angeanza kuandika hivi kichwa cha habari:
KWA MIAKA MINANE URUSI IMEIZUIA MAREKANI KUMTOA ASSADI MADARAKANI,NA SASA WANAPIGANIA VISIMA VYA MAFUTA KWA KUIZUIA URUSI ISiDHIBITI VISIMA VYA MAFUTA ZAIDI.
 
Naona unajaribu kuhamisha mada,mada iliyopo hapa ni kuwa Urusi kaufyata kwa Marekani. Hilo la Ubalozi wa Marekani anzisha Uzi wake tuje kuchangia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Frank Wanjiru,sitaki kuingilia malumbano yako na Elungata,lakini naona hata wewe na mada yako kama mmepoteza mwelekeo,je lengo kuu la Marekani nchini Syria ilikua ni kulinda visima vya mafuta visichukuliwe na Urusi au lilikua ni kumtoa Assad? je kama ni kumtoa Assad nani kaufyata kati ya Marekani na Urusi.Kama ni kulinda visima vya mafuta,je Marekani ana uwezo wa kumtoa Urusi katika visima ambapo Urusi alishawahi kuvishika? au kuvifikia kwanza?
Naona sasa Marekani ana dili na vitu vidogovidogo sana,kama kisima cha mafuta cha mtaani badala ya kudili na suala la utawala wa Assad amabo toka Obama hadi Trump wamahenyeshwa na Urusi,wameufyata kw aUrusi.Hebu fikiri kwa kina Mkuu.
 
Kwa hiyo Mkuu wangu Sexer,sasa hivi lengo la Marekani limebadiliha hapo Syria?,sio kumtoa Assad tena ? limekua swala la wese?,hivi unamini maeneo aliyowahi kufika ama kuyashika Russia hapo Syria US anaweza kumtoa?.Kwa hiyo sasa kwa US Assad kubaki madarakani ni halali?
Ni kweli mkuu! Lengo la Marekani kumg'oa Assad lilibadilika baada ya Isis kuibuka na kuteka maeneo mengi huko Syria na Iraq.

Baada ya Isis kusambaratishwa lengo limekuwa ni kuvilinda hivyo visima vya mafuta vinavyodhibitiwa na wakurdi ili visichukuliwe tena na Assad,Urusi au mabaki ya Isis yaliyosalia.
 
Russia alienda Syria kuipiga ISIS na kumlinda Assad. US alienda kumwondoa Assad na kuwasaidia washirika wa ISIS na waliompinga Assad. Mpaka sasa kilichotokea mnakijua. Hivi visima vichache vya mafuta ni kama kachumbali kwenye chakula, lengo kuu ni chakula kachumbari kusindikizia tu.
Mkuu nakupongeza sana kwa hoja yenye mashiko ,maana sasa wazee wanajisifu kwa kuwazuia Urusi wasifike kwenye kisima cha mafuta walichowahi wao, US,Lakini hawasemi ni jinsi gani Urusi ilivyo wa mblock Marekani isimtoe Assad madarakani.
Wangemtoa madarakani mafuta yote ya Syria yangekua chini ya umiliki wao.Lakini Russia kwapiga pini MIAKA ZAIDI YA MINANE.
 
Ni kweli mkuu! Lengo la Marekani kumg'oa Assad lilibadilika baada ya Isis kuibuka na kuteka maeneo mengi huko Syria na Iraq.

Baada ya Isis kusambaratishwa lengo limekuwa ni kuvilinda hivyo visima vya mafuta vinavyodhibitiwa na wakurdi ili visichukuliwe tena na Assad,Urusi au mabaki ya Isis yaliyosalia.
Ni kweli Mkuu Proved lengo lao lililbadilika baada ya kudhibitiwa na warusi wachache waliopo Syria na midle east.
Unajua ikioje mkuu?,unabanwa uwanjani hadi unadbadilisha malengo,na kubadilisha malengo ni kushindwa kufanikisha lengo mama,na kushindwa kufanikisha lengo mama ni kushindwa kabisa
kwa kifupi marekani kaufyata kwa Urusi.
.NI aibu hii kwa taifa ambalo tunaaminishwa ni supa pawa.
leo hii wamekua wa kushangilia petty issues.
 

Tensions between U.S. and Russia military forces over gaining control over key oil fields in northeastern Syria are intensifying, as American troops on Sunday blocked a Russian convoy trying to gain access to the oil fields for the fourth time in the last eight days.

Ten armored vehicles carrying American soldiers stopped Russian military vehicles west of Al-Hasakah province while they were trying to reach the M4 highway to reach key oil fields in the province.

Following the incident, the Russian military sent a helicopter from the base in the town. In response, the U.S. military sent two helicopters to the area, forcing the Russian helicopter to land.

The Russian military convoy then apparently turned back and returned to their home base.

The move came amid an ongoing dispute between the U.S. and Russia over the Rumeylan oil field in northeast Al-Hasakah, marking the fourth time such a standoff has reported in the last eight days.

Despite no significant conflict being reported, the incidents have become a reminder of the high stakes in Syria, where U.S. military activity aims to guard oil fields and prevent them from falling into the hands of other actors, including Russia and extremist groups.

The oil fields are concentrated in the province of Deir el-Zour in eastern Syria, near the Iraqi border, and Al-Hasakah in the northeast.

U.S. troops were initially deployed in Syria for the mission of defeating Daesh. Although U.S. President Donald Trump declared a decisive victory over the Daesh terror group and launched American soldiers' withdrawal process in December 2018 – saying defeating Daesh was the sole reason for American presence in the country – the Trump administration adjusted that mission last year by assigning several hundred U.S. troops to remain to guard oil fields from the terror group, which used Syrian fuel as a key income source during its rise.

Trump once again announced a withdrawal of U.S. forces from northern Syria in October, ahead of Turkey's Operation Peace Spring to eliminate YPG/PKK terrorists from the area east of the Euphrates in northern Syria to secure Turkey's borders, aid in the safe return of Syrian refugees and ensure Syria's territorial integrity.

Following the decision, the U.S. later decided to retain around 500 troops by moving them near oil fields to guard these facilities, along with YPG/PKK forces, who are currently the main beneficiaries of the production. U.S. Defense Secretary Mark Esper confirmed that the mission of U.S. troops in the region also includes preventing Russian and regime forces from taking control of Syrian oil, in addition to guarding against Daesh terrorists.

On the other hand, Russia supports the Bashar Assad regime in Syria by providing active military assistance to regain control of oil production and have their eyes on these facilities. Russia also aims to increase its influence over the region.

The YPG/PKK-led forces began taking over control from Daesh terrorists of major oil fields in the northeast of Syria and along the Euphrates in 2017. Although Operation Peace Spring in northern Syria has resulted in YPG/PKK terrorists losing significant amounts of territory, most of the oil fields east of the Euphrates remain under the terrorist group's control.

Despite NATO ally Turkey's legitimate security concerns, the U.S. has partnered with the YPG/PKK-dominated Syrian Democratic Forces (SDF) in its fight against Daesh in northern Syria.

In its more than 35-year terror campaign against Turkey, the PKK – listed as a terrorist organization by Turkey, the U.S. and the European Union – has been responsible for the deaths of nearly 40,000 people, including women, children and infants. The YPG is the PKK terrorist organization's Syrian offshoot.

Source: Daily Sabah


Sent using Jamii Forums mobile app
Haya sasa, Mrusi kaogopa vita na US, angekuwa mwanaume angeishambulia US Convoy iliyokuwa inam block asipite.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hana uwezo wa kuifanya Iran chochote. Kwa sasa anafuatilia impeachment trial ambayo pia inamuendea vibaya sana. Na hawezi kuingia vita na Iran maana ameshapigwa kufuli na Congress. Iran inawatumia washirika wake kimya kimya na wanainyima usingi US kweli kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Congress haiwezi kumzuia raisi wa Marekani, walichotoa ilikuwa kipeperushi tu. Impeachment inaenda vizur, Republicans ni majority na wapo na Trump.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom