Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,216
- 7,908
Ndo ulivihesabu ukaona ni viwili ama vitatu?! Yaani pamoja na uchache pindi unahesabu ulishindwa kupata idadi sahihi kiasi kwamba unasema hapa viko visima viwili ama vitatu!Kwani marekani anapata Nini pale?,vile visima anavyoshikilia hata havizalishi na sio vingi viwili ama vitatu,at export kupitia wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app