Kwa mara ya kwanza

Mbona kama ya kuchora hii
Hiyo ni picha ya sentinel-2 A satellite ndio imepiga picha hiyo na inapiga picha dunia nzima. Unaweza kuangalia BBC "satellite pictures clear skies Africa.
 
ok tujivunie picha kama tunavyojivunia madini yetu katika picha tuu mkuu nimekuelewa..
 
Huu ni ujumbe kuwa waafrika ndio wahanga wa mabadiliko ya nchi, ukame, joto kuongezeka nk.
 
Neno UMEKITWANGA inaelekea litakuwa rasmi kwa watu wa KILAURI.Niombe serikali ipige marufuku kama vile BUNGE LIVE kulitumia neno hilo.Naona kama vile ni udhalilishaji wa serikali na kwa Mh.mbunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…