Musoma Yetu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2016
- 2,629
- 2,288
Napita tu
Mkuu tujiepushe na hizi nyuzi za aina hii zinazo anzishwa sasa hivi kwani tunaweza jikuta wote tunakula ban.Uchumi naona utaimarika kwa Mbowe kulala mahabusu!
true and well said mahabusu ni shule kwa wapinzaniSerikali ya awamu ya tano kwa kweli imeamua kupambana na unafiki. Inataka ukiisia mvua basi iwe imekunyeshea.
Lema amekaa gerezani ametoka sasa ametulia. Natarajia hivyo kwa Sugu na Viongozi waliwekwa mahabusu leo. Hawa wote wamekuwa majasiri wakati wa hali nzuri tu.
Wako kimaslahi hawawezi kurisk familia, biashara wala hadhi zao. Hao wakurugenzi wa sekretarieti Benson Kigaila tu ndie jasiri wengine wako kimaslahi. Kwa mtikisiko huu Chama kina safari ndefu maana waoga ndio wenye madaraka.
Mbowe alizoea kuwa behind the scene na kupiga hela now waliokuwa wakitangulia mbele yake kawafukuza au kagombana nao kwasababu ya majungu ya vijana wake waliomzunguka.
Mbowe ametiswa sasa tutajua je ni mwamba imara au mwamba mchanga. Mahabusu ni chuo na shule kwa wapinzani
Hahaa ijue dunia watu wanacheza mazingaombwe hamuelewi we yaone mambo kwa upeo wako dunia haipo hivoHuyu habari nyingine kwa lipi haswa?? Ana tofauti gani na wengine?? Unajua mugabe yuko wapi? Unajua zuma yuko wapi? Unajua ethiopia kuna nini? Mind u..mind u boss...dunia ni kisiwa
Achaa wajitoe ufahamu kila lenye mwanzo lina mwisho wakeKwamba mbowe ndiye alifyatua risasi na kumuua akwilina sio?? Nyie watu mtapata matatizo nyie..
Mugabe katoka kaingia nani na kamfanya nini Mugabe??Huyu habari nyingine kwa lipi haswa?? Ana tofauti gani na wengine?? Unajua mugabe yuko wapi? Unajua zuma yuko wapi? Unajua ethiopia kuna nini? Mind u..mind u boss...dunia ni kisiwa
Tuombe uzima sheikh..huyu jamaa amepita mulemule alimopita mugabe..kwa hio ww kama una akili utanielewaHahaa ijue dunia watu wanacheza mazingaombwe hamuelewi we yaone mambo kwa upeo wako dunia haipo hivo
Mugabe kafanywa nini?? Kwa akili zako unadhani alipinduliwa?? Pole sanaTuombe uzima sheikh..huyu jamaa amepita mulemule alimopita mugabe..kwa hio ww kama una akili utanielewa
Hahahaha..huwezi kuelewa braza...huwezi kabisa...ulisikiliza press ya juzi ya mugabe? Unaifahamu zambia?Mugabe katoka kaingia nani na kamfanya nini Mugabe??
Hahahah..ulisikiliza press ya mugabe recently?Mugabe kafanywa nini?? Kwa akili zako unadhani alipinduliwa?? Pole sana
Kabisa mkuu. Kesho tutazindua viwanda 2000Uchumi naona utaimarika kwa Mbowe kulala mahabusu!
Mbowe hana moyo wa Mandela . JiongezeAlikaa Mandela itakuwa MBOWE ccm Mungu anawaona
Wewe wazazi wako hawakujiandaa kukutafuta ila ulitokea kwa bahati mbaya tuTuhuma za ngada aliponea tundu la sindano baada ya kuumiza vijana wengi,
Sasa damu aliyoimwaga kwa kuitisha maandamano haramu imemlaza nyuma ya Nondo.
Pole sana kamanda
Nimefurahi mwenyekiti kujaribiwa kwa moto. Atakuwa dhahabu safiCheka kovu usiyefikwa na jeraha. Sijui unalipwa nini kwa haya maneno yako. Huwa naogopa saana nikiona mtu anafurahia asikiapo kuwa fulani kafikwa. Muogope saana mtu huyo.
Dr. Slaa ndio nguzo ya upinzani na watu kama akina Lissu. Mbowe 2000-2012 sio huyu wa sasa aliyefilisika kimawazo na kiuchumiWewe nawe acha upuuzi wako
Upinzani wa nchi hii upo hapa leo kwa sababu ya uimara wa mbowe.
Huyu hajawahi kuwa mwana CCM.
Mbowe amefilisiwa..ameharibiwa mali zake..wewe unaongelea kukaa jela?
Btw...wanaume wanapambana wewe umejibanza huko..lala mbele
Liangalie hili zwazwa buku 7 ndio zikutoe akili kiasi hichoHakukuwa na umuhimu wowote wa kufanya Yale maandamano kwa kua hata hivyo Chadema walishiriki ule uchaguzi with a different purpose hawakua na lengo la kushinda; angalia tu aina ya Mgombea waliyemteua.
Walichokitafuta wamekipata.
Wewe mbona unauzwa na bado hujapata mtejaYuko imara kwa kuuza chama kwa makapi ya ccm.