Kwa mara ya kwanza katika historia ya maisha yake ya kisiasa Mbowe amelala mahabusu

Serikali ya awamu ya tano kwa kweli imeamua kupambana na unafiki. Inataka ukiisia mvua basi iwe imekunyeshea.

Lema amekaa gerezani ametoka sasa ametulia. Natarajia hivyo kwa Sugu na Viongozi waliwekwa mahabusu leo. Hawa wote wamekuwa majasiri wakati wa hali nzuri tu.

Wako kimaslahi hawawezi kurisk familia, biashara wala hadhi zao. Hao wakurugenzi wa sekretarieti Benson Kigaila tu ndie jasiri wengine wako kimaslahi. Kwa mtikisiko huu Chama kina safari ndefu maana waoga ndio wenye madaraka.

Mbowe alizoea kuwa behind the scene na kupiga hela now waliokuwa wakitangulia mbele yake kawafukuza au kagombana nao kwasababu ya majungu ya vijana wake waliomzunguka.

Mbowe ametiswa sasa tutajua je ni mwamba imara au mwamba mchanga. Mahabusu ni chuo na shule kwa wapinzani
true and well said mahabusu ni shule kwa wapinzani
mandela alikaa 20+ alivyotoka akawa rais wa kwanza mweusi SA
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Huyu habari nyingine kwa lipi haswa?? Ana tofauti gani na wengine?? Unajua mugabe yuko wapi? Unajua zuma yuko wapi? Unajua ethiopia kuna nini? Mind u..mind u boss...dunia ni kisiwa
Hahaa ijue dunia watu wanacheza mazingaombwe hamuelewi we yaone mambo kwa upeo wako dunia haipo hivo
 
Wewe kada wa Lumumba unajua kuwa Nelson Mandela alilala jela miaka 27 kwa kesi za kubambikiwa kama ambavyo wanavyobabambikiwa akina Mbowe??

Jiulize tena yuko wapi Yule askari ambaye alifyatia risasi zilizomuua yule binti Akwilina ambaye wala hakuwa kwenye maandamano Yale??

Utambue kuwa hakuna chenye mwanzo kikakosa kuwa na mwisho

Ushawahi kujiuliza wako wapi akina Iddi Amin Dada, Mobutu Sese Seko na Mfalme Bokassa, waliokuwa wanatisha sana enzi zao kwa tawala zao za kutisha??

Kwa taarifa yako tu ni kuwa pamoja na ubabe wao, lakini hatimaye walizikimbia nchi zao kwa aibu kubwa!
 
Hahaa ijue dunia watu wanacheza mazingaombwe hamuelewi we yaone mambo kwa upeo wako dunia haipo hivo
Tuombe uzima sheikh..huyu jamaa amepita mulemule alimopita mugabe..kwa hio ww kama una akili utanielewa
 
Duniani tunatofautiana sana leo kuna watu wanasherekea kwa wenzao kubambikiwa kesi?!
 
Tuhuma za ngada aliponea tundu la sindano baada ya kuumiza vijana wengi,

Sasa damu aliyoimwaga kwa kuitisha maandamano haramu imemlaza nyuma ya Nondo.

Pole sana kamanda
Wewe wazazi wako hawakujiandaa kukutafuta ila ulitokea kwa bahati mbaya tu
 
Wewe nawe acha upuuzi wako
Upinzani wa nchi hii upo hapa leo kwa sababu ya uimara wa mbowe.
Huyu hajawahi kuwa mwana CCM.
Mbowe amefilisiwa..ameharibiwa mali zake..wewe unaongelea kukaa jela?
Btw...wanaume wanapambana wewe umejibanza huko..lala mbele
Dr. Slaa ndio nguzo ya upinzani na watu kama akina Lissu. Mbowe 2000-2012 sio huyu wa sasa aliyefilisika kimawazo na kiuchumi
 
Hakukuwa na umuhimu wowote wa kufanya Yale maandamano kwa kua hata hivyo Chadema walishiriki ule uchaguzi with a different purpose hawakua na lengo la kushinda; angalia tu aina ya Mgombea waliyemteua.

Walichokitafuta wamekipata.
Liangalie hili zwazwa buku 7 ndio zikutoe akili kiasi hicho
 
Back
Top Bottom