Kwa mara ya kwanza katika historia ya maisha yake ya kisiasa Mbowe amelala mahabusu

Benson Mramba

JF-Expert Member
Oct 29, 2013
644
1,482
Serikali ya awamu ya tano kwa kweli imeamua kupambana na unafiki. Inataka ukiisia mvua basi iwe imekunyeshea.

Lema amekaa gerezani ametoka sasa ametulia. Natarajia hivyo kwa Sugu na Viongozi waliwekwa mahabusu leo. Hawa wote wamekuwa majasiri wakati wa hali nzuri tu.

Wako kimaslahi hawawezi kurisk familia, biashara wala hadhi zao. Hao wakurugenzi wa sekretarieti Benson Kigaila tu ndie jasiri wengine wako kimaslahi. Kwa mtikisiko huu Chama kina safari ndefu maana waoga ndio wenye madaraka.

Mbowe alizoea kuwa behind the scene na kupiga hela now waliokuwa wakitangulia mbele yake kawafukuza au kagombana nao kwasababu ya majungu ya vijana wake waliomzunguka.

Mbowe ametiswa sasa tutajua je ni mwamba imara au mwamba mchanga. Mahabusu ni chuo na shule kwa wapinzani
 
Mramba kama unadhani uko salama unajidanganya sana subiria uone shida mbele yake
 
Dah!! Kwa hiyo mtoto wa watu alipigwa risasi ili watu flani waende jela!!!!!?
 
Serikali ya awamu ya tano kwa kweli imeamua kupambana na unafiki. Inataka ukiisia mvua basi iwe imekunyeshea.

Lema amekaa gerezani ametoka sasa ametulia. Natarajia hivyo kwa Sugu na Viongozi waliwekwa mahabusu leo. Hawa wote wamekuwa majasiri wakati wa hali nzuri tu.

Wako kimaslahi hawawezi kurisk familia, biashara wala hadhi zao. Hao wakurugenzi wa sekretarieti Benson Kigaila tu ndie jasiri wengine wako kimaslahi. Kwa mtikisiko huu Chama kina safari ndefu maana waoga ndio wenye madaraka.

Mbowe alizoea kuwa behind the scene na kupiga hela now waliokuwa wakitangulia mbele yake kawafukuza au kagombana nao kwasababu ya majungu ya vijana wake waliomzunguka.

Mbowe ametiswa sasa tutajua je ni mwamba imara au mwamba mchanga. Mahabusu ni chuo na shule kwa wapinzani
Punguani asiejielewa,na mwanamme asie kamilika ndio anaweza andika upuuzi kama huu eti kulala jela kunamfanya MTU awe muoga wewe kweli sio rijali.
 
Back
Top Bottom