mikiki boxing yanini uchafu wa shetani huo? watu tulicheza mikarate na mishaurini kong fu hiyo hadi black belt, tulipokuja kufunguka akili tukaona kumbe ni upuuzi mtupu, na kunakuwa na roho chafu ya shetani pepo makata lile pepo la shetani la chinjachinja linakuingia afu unakuwa mtu mkatili kupindukia rohoni hata kama watu watakuona usoni mpole...ni kitu kibaya kilinisumbua sana hadi nilipokuja kuombewa sana na kumpokea Yesu mapepo hayo yakatoka, sasahivi sitaki kuona hata michezo ya ngumi wala karate yoyote....hii michezo ni ya shetani wala si sifa..