Kwa Manji (Quality Plaza) kuna majambazi wanaungurumisha risasi

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,685
68,671
Nitawajuza

Update:
Jamaa(Majambazi) walikuwa wa4 walitaka kupora fedha kwenye begi ambazo ni zaidi ya mil50 lkn wameshindwa kuzichukua lakini wamempiga risasi ya mguu dereva wa daradara,jambazi m1 amekamatwa(age yake haizidi 25) wameacha pikipiki moja(boxer) kina ras makunja na farasi mweupe washafika ndio wanachukua maelezo!

Askari wakiingia kwenye tukio
 
Attachments

  • JAMBAZI_TRAFIKI.JPG
    290.3 KB · Views: 278
Kidogo kidogo watanzania wameanza kuzifuatilia mali zao zilizokwapuliwa, huo ni mwanzo tu!!!!
 
Jamaa(Majambazi) walikuwa wa4 walitaka kupora fedha kwenye begi ambazo ni zaidi ya mil50 lkn wameshindwa kuzichukua lakini wamempiga risasi ya mguu dereva wa daradara,jambazi m1 amekamatwa(age yake haizidi 25) wameacha pikipiki moja(boxer) kina ras makunja na farasi mweupe washafika ndio wanachukua maelezo!
 
We nguruwe ****** wenzanko wamepata matatitizo wewe unaleta siasa uchwara kama ufukara ni wako na uzembe wako acha chuki binfsi.
 
Dereva mmoja wamemdhuru kwa risasi ya mguu kashawaishwa hospital.

Doh! Mungu amjalie asiwe amedhurika kiasi cha kuhatarisha maisha yake, vp polisi hawajaja na vitu vyenye ncha kali kupambana na hao majambazi?
 
kwakua amekamatwa 1 basi kazi Rahisi hiyo wataskwa ote namwami Canda Kova subili kwenye TV mjibu utayapata

Kwa Tanzania akikamatwa jambazi ni mtaji mzuri kwa polisi...
 
Doh! Mungu amjalie asiwe amedhurika kiasi cha kuhatarisha maisha yake, vp polisi hawajaja na vitu vyenye ncha kali kupambana na hao majambazi?

Hivyo huwa vinafanya kazi wakiwa ni CHADEMA au wananchi wasio na silaha
 
Mwisho wa mwaka huu,kama kawaida ni miezi ya misukosuko,watu wanasaka pesa ili wauage na kuukaribisha mwaka vizuri! Wale ndugu zangu wa kuleeee...wanasema ajali kazini!
 
hivi hawa watu wanaotoa vyombo vyao vya usafiri kutumika kwenye uhalifu huwa wanalipwa thamani ya hicho chombo iwapo kitakamatwa?
 
We nguruwe ****** wenzanko wamepata matatitizo wewe unaleta siasa uchwara kama ufukara ni wako na uzembe wako acha chuki binfsi.
hii kali tena kumbe Nguruwe bado yupo? mm nilidhani keshaStaaf
JF kiboko wengine humuhumu wanapanga Mashambulizi wengine kumbe tunawatibulia, kweli ufukara mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…