Kwa Manji (Quality Plaza) kuna majambazi wanaungurumisha risasi

Kidogo kidogo watanzania wameanza kuzifuatilia mali zao zilizokwapuliwa, huo ni mwanzo tu!!!!

Siku wakija nyumbani kwako wakamfurumusha mkeo uchi usije kulia lia hapa maana nitakupa jibu ambalo ni sawa na uliloliandika hapa
 
Doh! Mungu amjalie asiwe amedhurika kiasi cha kuhatarisha maisha yake, vp polisi hawajaja na vitu vyenye ncha kali kupambana na hao majambazi?

Katika tukio la ujambazi Polisi wanakuwa wa mwisho kufika, Yaani wanasubiri Jamaa waondoke ndipo wanakuja Polisi.

Lakini kwenye tukio la maandamano au mikutano isiyo na kibali, Polisi wanafika kabla ya waandamanaji.

Wakiwa wameheheni zana za kivita kama wanaenda vitani.
Lakini kwenye ujambazi THUBUTUUUUUUUUUUUUUUU!!!!!!!!



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Siku wakija nyumbani kwako wakamfurumusha mkeo uchi usije kulia lia hapa maana nitakupa jibu ambalo ni sawa na uliloliandika hapa

Afadhali umemwambia ,maana watu wanaleta kejeli zisizo na maana ....
Majambazi si watu na ni zaidi ya mnyama simba.........!
Aombe yasimkute.......!
 
Hakuna update? Au washakurestisha in peace!!

Jamaa(Majambazi) walikuwa wa4 walitaka kupora fedha kwenye begi ambazo ni zaidi ya mil50 lkn wameshindwa kuzichukua lakini wamempiga risasi ya mguu dereva wa daradara,jambazi m1 amekamatwa(age yake haizidi 25) wameacha pikipiki moja(boxer) kina ras makunja na farasi mweupe washafika ndio wanachukua maelezo!
 
MAJERUHI.JPG
Dereva wa daradara aliyejeruhiwa na risasi
 
QP1 RAS.JPG

Kina Ras Makunja na wazee wasio na uniform wakiwa wanaangalia amani isije ikapotea
 
ujambazi wa kupora hela hauwezi kuisha hadi pale tutakaonzisha internet banking
watu tutembee na kadi na kukunua kila kitu kwa kadi bila kushika fedha mkononi
itapunguza kwa kiasi kikubwa
maduka yote,supermarkets nk wanatakiwa kuwa na hivo vifaa vya kuaacess smartcard au viza cards in collaboration na banks
sijui tembo kadi nk imeishia wapi.
 
Kwa Tanzania akikamatwa jambazi ni mtaji mzuri kwa polisi...

kama ulikuepo na WAHANDISHI HABARI OTE WATAITWA na zitachukuliwana M/net yaliyopo Stores kuongezea uzito wa issue majambazi sugu
 
Back
Top Bottom