Karnoon
Senior Member
- Jul 9, 2011
- 106
- 22
Kidogo kidogo watanzania wameanza kuzifuatilia mali zao zilizokwapuliwa, huo ni mwanzo tu!!!!
u ok dude?
Kidogo kidogo watanzania wameanza kuzifuatilia mali zao zilizokwapuliwa, huo ni mwanzo tu!!!!
Dereva kahusikaje?
Asubuhi yote hii? Wamelala njaa?
Wewe kila kitu Chadema tu.
Katika tukio la ujambazi Polisi wanakuwa wa mwisho kufika, Yaani wanasubiri Jamaa waondoke ndipo wanakuja Polisi.
Lakini kwenye tukio la maandamano au mikutano isiyo na kibali, Polisi wanafika kabla ya waandamanaji.
Wakiwa wameheheni zana za kivita kama wanaenda vitani.
Lakini kwenye ujambazi THUBUTUUUUUUUUUUUUUUU!!!!!!!!
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Kidogo kidogo watanzania wameanza kuzifuatilia mali zao zilizokwapuliwa, huo ni mwanzo tu!!!!
Si unajua tena Saint mchezo wote ulikuwa unafanyika kwa road na si unajua ile kitu haina macho,kuna jamaa aliyekuwa kwenye ile gari yenye hela ndio alijitoa sadaka kabisa majambazi walikuwa washanyang'anya begi la hela ikabidi jamaa akaling'ang'ania jamaa wakapiga njugu hewani lkn jamaa kakomaa ikabidi waanze mbele
Mkuu MIZAMBWA,Kuna kitu kinaitwa usalama!Nahii imegawanyika sehemu mbili,kwanza nikwawewe unaenda kutoa msaada napili niusalama wa-anaenda kusaidiwa.Hapa muhimu huwa niusalama wayule anaenda kutoa msaada kwanza alafu akijihakikishia hilo ndio anaangalia usalama wa-anaenda kusaidiwa.Ndio maana huwa wanachelewa nawakati mwingine wanakuja naving'ora ili kuwaondoa wahalifu!Hii niyakimataifa sio Tz peke yake,Hapo utaona tofauti yakumuhendo mtu kwenye maandamano natukio laujambazi.Kama kunawakuongeza anisaidie wakuu