Ni police kushindwa kukidhi matakwa wa wananchi ndo maana yanatokea hayo. Wananchi wakimkamata kibaka na kumpleleka police, kesho yake yupo tena mtaani anasumbua. Kwa maana hiyo wameona solution ni kumaliza kabisa fitina.
Masikini huyu kibaka weeeeeeeeee!!Hivi kijana kama huyu anashindwa kuuza njugu barabarani, njugu mtaji elfu moja tu. Mtu mzima kabisa mikono miwili na miguu miwili lakini bado hataki kujishughulisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.