Ana two ya 11 mkuu. BAF atapata kwel ?Apoo chuo anaenda na mkopo asilimia mia kabisa,,,, two ya 12 nzur mkuu,,,,,, kuhusu koz inategemea na compitetion iliyopo kwenye chuo husika kwa upande wa iyo koz
Unaongelea mwaka gani ?Apoo chuo anaenda na mkopo asilimia mia kabisa,,,, two ya 12 nzur mkuu,,,,,, kuhusu koz inategemea na compitetion iliyopo kwenye chuo husika kwa upande wa iyo koz
Ishu ni competion tu mkuu,kutokana na ufaulu wa mwaka husika..Ana two ya 11 mkuu. BAF atapata kwel ?
Mzumbe anaenda bafAna two ya 11 mkuu. BAF atapata kwel ?
Mwaka huu kabisa mkuiUnaongelea mwaka gani ?
Yaaaah 11 kwelii,,,,Ana two ya 11 mkuu. BAF atapata kwel ?
Chuo anaenda ila mkopo atapata tabuMwaka huu kabisa mkui
KLF wanapata mkopo tena zote sembuse ECA,,,, mwisho wa siku mkopo ni ngekewa tuu,, wenye vigezo ni wengi budget ya serikali ndogo,,, so kwenye maombi kuna rondamly selection kwenye kutoa batchChuo anaenda ila mkopo atapata tabu
Education anapata bila wasiwasiAlikua anasoma Eca.
G/STUDIES - 'F' BAM - 'F' ECONOMICS - 'D' COMMERCE - 'C' ACCOUNTANCY - 'D
Kama ataenda chuo je ni kwa course zipi na vyuo gani ?
Apoo chuo anaenda na mkopo asilimia mia kabisa,,,, two ya 12 nzur mkuu,,,,,, kuhusu koz inategemea na compitetion iliyopo kwenye chuo husika kwa upande wa iyo koz
Chuo anaweza kupata, mkopo huwezi kuwa na hakika 100% inategemea bodi itamsomaje hivyo ni vizuri kujitatyarisha kwa yote mawili.Alikua anasoma Eca.
G/STUDIES - 'F' BAM - 'F' ECONOMICS - 'D' COMMERCE - 'C' ACCOUNTANCY - 'D
Kama ataenda chuo je ni kwa course zipi na vyuo gani ?
muccobs anapataAna two ya 11 mkuu. BAF atapata kwel ?
Kwa usalama wake asije gusa kozi yeyote ya education.Aende BED COM AU BECA
Mkopo asilimia 100 anasoma medicine au engineering? Kwa kombi yake aombe apate walau 0%... Na kama alisoma private kwa awamu hii aanze kujiandaa kisaikolojia.Apoo chuo anaenda na mkopo asilimia mia kabisa,,,, two ya 12 nzur mkuu,,,,,, kuhusu koz inategemea na compitetion iliyopo kwenye chuo husika kwa upande wa iyo koz
Ajira au ni niniKwa usalama wake asije gusa kozi yeyote ya education.
Kwani huoni yanayoendelea nchini au unaishi USA?Ajira au ni nini
Wwe jamaa hunataarifa sahihi na faculty za elimu ya biashara.Kwani huoni yanayoendelea nchini au unaishi USA?
KAMA anataka education akasomee sayansi kitu ambacho kwa kombi yake hakiwezekani!!