JACADUOGO2.
JF-Expert Member
- Dec 13, 2010
- 930
- 220
mkuu jiwe kajiunge na makamanda kukomboa hizo kata,usisubiri hapo kijijini kwako kuja kuamshwaMakamanda karibuni sana wilaya ya Sikonge. Nipo hapa kijiji cha Mkolye, basi wakati mkirejea makwenu msisahau kupitia hapa kutuamsha amsha!
Makamanda karibuni sana wilaya ya Sikonge. Nipo hapa kijiji cha Mkolye, basi wakati mkirejea makwenu msisahau kupitia hapa kutuamsha amsha!
Msalimie mkuu Sikonge, hapo jirani na Mkolye, kijiji cha Mpombwe
mkuu jiwe kajiunge na makamanda kukomboa hizo kata,usisubiri hapo kijijini kwako kuja kuamshwa
Mhh, kumbe wewe wa Mkolye? Hehehee......
Vipi lile JIWE la kuteleza hapo kijijini bado lipo au mmeliharibu?
Anyway, tusitoke nje ya topic. Mkolye, Mkolye, Salimia hapo Mashaka Matongo (Abiola) kama amesharudi kwao.
Msalimie mkuu Sikonge, hapo jirani na Mkolye, kijiji cha Mpombwe
Mkuu Sikonge karibu sana Mkolye. JIWE la kuteleza 'isyenentelo' bado lipo kwani ni Landmark muhimu sana hapa kijijini. Na kwa taarifa tu, hilo JIWE ndiyo maana halisi ya ID yangu "Jiwe". Karibuni wote tuteleze kwenye JIWE huku tukiendelea kutafakari harakati za ukombozi wa fikra kwa watanzania.
Makamanda karibuni sana wilaya ya Sikonge. Nipo hapa kijiji cha Mkolye, basi wakati mkirejea makwenu msisahau kupitia hapa kutuamsha amsha!
Wee mtu wa Mkolye, sijui utakuwa nani? Ila panga pangua, wewe ni ndugu yangu.
Hicho ni kijiji kilichoanzishwa na Babu wa Babu yaani Sambali. Lohh, kwetu Mkolye jamani. I miss a lot.
Usijibu hapa ukasahau na kuweka jina lako, utaumbuka bure kijana JIWE. Mie nipo kwa jina halisi, wewe endelea kujificha.
Kama kweli upo Mkolye au Sikonge, basi salimia familia na nakutakieni mapambano mema ya kuwasha moto huko Ipole na Kiloleli.