Kwa mahitaji yako ya frem ya kupanga maeneo ya Mwenge, Sinza na Mbezi karibu

Tunzo

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
4,066
2,363
Habari wakuu kuna frem zakupanga kwa matumizi mabalimbali:

Mwenge ninazo nane, Sinza zipo zaidi ya kumi, Mbezi makonde ninazo mbili, pia zingine zinapatikana, bei ya chini kwa ambazo ninazo kwa sasa ni 250,000 madaraja yapo mpaka za 1.2m

Nimeshinda kuweka picha hapa kwa sababu nyingi nazipata na zinaondoka ila kama upo serious nichek kwa 0713415537

Karibu upate huduma, pia wale wa chumba, vyumba, nyumba karibuni pia,
 
Back
Top Bottom