Hili tatizo la wajasiriamali wa bongo kutokutaja bei za huduma au bidhaa inabidi sheria itungwe na wachukuliwe hatua kali maana sio kwa kutuchezea akili.hujaweka bei
Mkuu nimeweka Bei angalia post vizuri juu.Hili tatizo la wajasiriamali wa bongo kutokutaja bei za huduma au bidhaa inabidi sheria itungwe na wachukuliwe hatua kali maana sio kwa kutuchezea akili.
Mkuu bei nimeweka , Na pia ukiangalia Video niliyo attach hapo juu inajielezea vizuri na mpaka sura zinaonekana. So ondoa shaka, Kama una nyumba za kupanga au fremu au jengo lolote tupigie tushauriane kuhusu bidhaa yetuWeka bei na taarifa zote zilizonyooka.
Kuficha ficha ni dalili ya utapeli
Ndio, kila mtu anakuwa anajitegemea. Hakuna janja janja.Sub meter yenu ina utofauti na separate meter? Maana wenye nyumba anakulazimisha ulipie separate meter na haimpi mtumiaji kujiwekea umeme utakao..
Baada ya kukusema.Mkuu nimeweka Bei angalia post vizuri juu.
Bei ni 130,000
Bei hii imejumuisha gharama zote kwanzia Ufundi, Usafiri, Usajili, maelekezo namna ya kutumia na After sales Support
Changamoto ya submeter ni moja. "Inatakiwa ziwe kuanzia 2 kwenye nyumba ya umeme. Ikiwa moja ni kazi bure, aliyeweka ni sawa na hajafanya kitu"
Ndio mkuu ila haishauriwi sana, kwa sababu ambaye anatumia kutoka mita kuu atakuwa hana limit. Kwa maelezo zaidi nipigieSo je inawezekana nyumba ya wapangaji wawili mpangaji mmoja akiweka submeter ila mwengine atumie main meter pekee?
Kwa hiyo mfano asiponunua umeme, wewe ukinunua na kuweka kwenye submeter yako, kule mainmeter si itawasha umeme na kwake? So meter ya tanesco sio smart kutambua umeme wa mwenye submeter moja haupaswi ujumuishwe na anaetumia meter kuu?Ndio mkuu ila haishauriwi sana, kwa sababu ambaye anatumia kutoka mita kuu atakuwa hana limit. Kwa maelezo zaidi nipigie