Nipo Dubai kikazi ila nimeona fursa ya mimi kujiongezea kipato.kwa mwenye kuhitaji chochote kutokea huku naomba tuwasiliane. Pia kama unahitaji kuja huku hujui utaanzaje usisite kunitafuta. +971541401906 WhatsApp
Engine ya 1vd Toyota Land cruiser ukizipata nzuri nicheki yenye turbo mbili ni hizi za kwenye LC 200 kuanzia 2009 kuja juu au wadau wanaziita kilimo kwanza bei zake ni mkasi unatakiwa uzunguke uone yenye unafuu kuliko hao wengine ndio utafanya biashara..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.