wankuru nyankuru
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 491
- 763
- Thread starter
- #41
Jana nilikuwa napitia taarifa ya ujenzi wa hospital za wilaya mbili huko mkoani singida ( mkalama na singida DC) zilizogharimu sh billion 1.5 kila moja .
Kupitia uchambuzi hapo juu nikagundua kumbe Serikali inaweza kufanya miradi mingi sana yenye maslahi kwa taifa zima kama vile ujenzi wa shule, ujenzi wa hospital kila wilaya, usambazaji maji vijijini na mambo mengine mengi.
Na hii itafanikiwa endapo kama wakuu wa viongozi na wakuu wa idara na kurugenzi mbali mbali watapunguziwa allowance zao na kubaki sh 120,000 kila mmoja kwa mwezi ( umeme + mawasiliano) .
Mfano tu hapo kwenye thread imeonekana kwa mwezi wakipunguziwa zitabaki kama bill 1.45 ambazo ndizo zitatumiwa na Serikali kujenga miundombinu. Na hii bil 1.45 ni kwa ngazi za mikoa na Wilaya hapo bado Wizara.
Kwa hiyo nchi nyingi za kiafrika zinaponzwa kwa kujijari kwa viongozi tu , uchoyo, kujiona wao ndio muhimu sanaaa, ufisadi bila hata kujali walala hoi,