Kwa mahesabu ya kawaida Vijana zaidi ya 2,000 wa kitanzania wanaweza kuajiriwa Serikalini endapo sheria ya utilities kwa viongozi itarekebishwa

Huko umekwenda mbali mkuu, kuzuia kodi na stahili nyingine za wafanyakazi sio sawa, ndio maana bado tunashangaa kwa nini wafanyakazi wa serikali hawajarekebishiwa mishahara yao tangu JPM aingie madarakani.

Vv
 
Sijui kwanini mada zenye hoja nzito kama hizi hukosa wachangiaji hapa jukwaani!! ila mada zinazozungumzia ngono zina utitiri wa wachangiaji.
Yaani hii ni mada yenye hoja nzito kweli? Watanzania mmerogwa kwa kuombeana umaskini. Ajira haziongezwi kwa style hiyo. Ajira huongezwa kwa kuongeza uzalishaji (productivity). Serikali inches drama badala yake iweke realistic conducive environment kuwafanya watu wawekeze zaidi. Sio chenga za kuwatia umaskini wengine.
 
Hii ina uhusiano gani na kuondoa posho za watumishi
Hapo still tunakuonesha facts kwamba pamoja na nyie viongozi kujengewa mazingira mazuri ya kazi ikiwa ni pamoja na kuwapa utilities, house allowance lakini mmeshindwa kusimamia majukumu ipasavyo matokeo yake ndio hayo hadi pm awaumbue.

Sasa ndio tunasema mnaonaje wawapunguzie angalau ifike sh 60,000 kwa mwezi kwa umeme na sh 60,000 kwa mawasiliano ili 370,000 ziweze kutumika kuajiri watanzania wenzetu ambao tunadhani kwa elimu waliyonayo wanaweza kusaidia ujenzi wa taifa badala ya kuwalipa nyie mnaovurunda kila kukicha.

Mtumishi unaliowa umeme 230,000 kwa mwezi unakiwanda gani mpaka ulipwe hizo fedha???

Nadhani kuna haja hizi sheria zihuishwe upya, wizara ya utumishi ifanye utafiti wa kujustify matumizi halisi ya sh 230,000 za umeme Kwa mkuu wa idara kama zinaendana na ukweli.

Ukizingatia hivi sasa bei ya umeme iko chini sana na kuna madaraja pia . nadhani hiyo sheria ni ya kizamani sanaaa
 
Hao wapya utawalipa na nini kama ulio nao tu umeshindwa kuwalipa stahiki zao ikiwemo posho za nyumba, umeme, maji, usafiri nk.
 
Kwani wenzetu mnaishi sayari gani? Mbona wenzenu tunaweza kujilipia bills na mishahara yetu midogo? Ndio maana mkistaafu mnasota sana kisa mmezoea kubebwa.
Yaani tunamlipia mtu umeme was nyumbani kwake? Mie niliyebeba spika nikalunda Kura ccm ikashinda hata jero ya kununua yokozuna sijambulia
 
Hujaelewa naona umeguswa. Umeambiwa posho zenu za ajabu ambazo hamzijustify kwa ufanisi zipunguzwe. Zikipunguzwa zitumike kwa matumizi mengine ya maana. Kama kuajiri walimu,manesi etc.
Mbona tunaambiwa waalimu wamezidi hadi wanapelekwa shule za msingi
 
Kuanzia RC, RAS, DC,DED,DAS, ni wateule wa mkuu inauma sana unakomaa na kitabu hafu jamaa wengine wanapitia mlango wa siasa wanakuja kuwa maboss zako.Solution ni kumaliza ndoto za elimu yako unadumbukia politics.
 
Sio upupu alioandika.Jibu hoja kijana
Yaani unashabikia serikali kuendelea kuondoa allowances kwa watumishi wake? Kwa taarifa yako mfanyakazi yoyote awe wa umma au sekta binafsi anastahili kulipwa allowances zote hizo ulizotaja pamoja na nyumba, au unategemea hao watumishi waishi kwa miujiza. Umewawekea simu ya bure hapo sebuleni kwako wawe wanakuja kupiga na kuwajazia luku ya umeme? Yaani kutumia muda kuandika upupu huu bora ungefanya kazi nyingine.
Jibu hoja we kijana.Hoja imetolewa,ipangue kwa hoja ili ikose mashiko.

SWALI KWAKO.
Je,watumishi wa chini mawasiliano hawafanyi?
Mbona wao ndio wanaotaabika na kufanya mawasiliano?Umeme na nyumba nani huwalipia gharama hizo?Mbona wanalipa na maisha yanaendelea?

Ukikaa chini na kuitafakari kwa mapana yake,hoja hii ina mashiko yenye ukweli ndani yake ila kwa wanufaika hii ni hoja mfu.
 
Sio upupu alioandika.Jibu hoja kijana Jibu hoja we kijana.Hoja imetolewa,ipangue kwa hoja ili ikose mashiko.

SWALI KWAKO.
Je,watumishi wa chini mawasiliano hawafanyi?
Mbona wao ndio wanaotaabika na kufanya mawasiliano?Umeme na nyumba nani huwalipia gharama hizo?Mbona wanalipa na maisha yanaendelea?

Ukikaa chini na kuitafakari kwa mapana yake,hoja hii ina mashiko yenye ukweli ndani yake ila kwa wanufaika hii ni hoja mfu.
Hata hao wa chini wanastahili hizo posho ikiwemo nyumba, maji, umeme, simu, usafiri nk. kuwaondolea hao wengine posho ni njia ya kuendelea kuhalalisha uminywaji wa stahiki za watumishi
 
Huko umekwenda mbali mkuu, kuzuia kodi na stahili nyingine za wafanyakazi sio sawa, ndio maana bado tunashangaa kwa nini wafanyakazi wa serikali hawajarekebishiwa mishahara yao tangu JPM aingie madarakani.

Vv
Kuna watu inawauma kuona wenzao wanavuta mpunga kwa sababu walikimbia umande, watu wamesota hadi kupata hizo taaluma wanataka wafanye kazi bure. Wakiona ni hasara kuwalipa hao watu posho tuwaondoe tu watumishi kila mtu ajijue atakapopata huduma
 
Hata hao wa chini wanastahili hizo posho ikiwemo nyumba, maji, umeme, simu, usafiri nk. kuwaondolea hao wengine posho ni njia ya kuendelea kuhalalisha uminywaji wa stahiki za watumishi
Sawa nyumisi,kwa hiyo hawa wa chini wasiopata posho huwa ni sahihi? Ila kuwaondolea hawa wakuu wa vitengo/idara posho ni kudidimiza haki zao.Ni bilioni ngapi huwa zinatoka kila mwezi kwa malipo hayo?Hizo fedha zingefanya yapi kwa manufaa ya jamii?Kwa mwaka ni bilions ngapi zinatoka?Zisipotolewa kazi hazitafanyika Serikalini.

Mkalama ndio ime-display uvundo uliopo huko kwenye ziara ya PM.

Ngoja Mamlaka ziangalie cha kufanya ili jamii ioate huduma na fedha hizo.

Utazikosa hizo fedha@nyumisi na michepuko itaanza kulia njaa.

Simu 230,000/= kwa mwezi?Kuongea na nani na wapi wakati wasaidizi kutwa wanawasiliana kwa kazi wakati wewe mkuu unagida bia na vidosho wa Magugu Mbuyu wa Mjeumani?
 
Yaani unashabikia serikali kuendelea kuondoa allowances kwa watumishi wake? Kwa taarifa yako mfanyakazi yoyote awe wa umma au sekta binafsi anastahili kulipwa allowances zote hizo ulizotaja pamoja na nyumba, au unategemea hao watumishi waishi kwa miujiza. Umewawekea simu ya bure hapo sebuleni kwako wawe wanakuja kupiga na kuwajazia luku ya umeme? Yaani kutumia muda kuandika upupu huu bora ungefanya kazi nyingine.
Uwezo wa kufikiri unapopungua ni shida sana
 
Pole,hakuna anayeona wivu.Serikali inatakiwa kupunguza posho hizo zifanye kazi nyingine.Kwa mwaka moja zinaenda sh.ngapi?Shule na zahanati ngapi zingejengwa?Michepuko yako itatia akili ikikosa hela ya balimi.Hata your wife mpendwa atakosa hela ya wigi aache kukaa barazani na kuwakoga wambeya wenzake.

Mkuu pole sana!!!Hahahahaha
Kuna watu inawauma kuona wenzao wanavuta mpunga kwa sababu walikimbia umande, watu wamesota hadi kupata hizo taaluma wanataka wafanye kazi bure. Wakiona ni hasara kuwalipa hao watu posho tuwaondoe tu watumishi kila mtu ajijue atakapopata huduma
 
Sawa nyumisi,kwa hiyo hawa wa chini wasiopata posho huwa ni sahihi? Ila kuwaondolea hawa wakuu wa vitengo/idara posho ni kudidimiza haki zao.Ni bilioni ngapi huwa zinatoka kila mwezi kwa malipo hayo?Hizo fedha zingefanya yapi kwa manufaa ya jamii?Kwa mwaka ni bilions ngapi zinatoka?Zisipotolewa kazi hazitafanyika Serikalini.

Mkalama ndio ime-display uvundo uliopo huko kwenye ziara ya PM.

Ngoja Mamlaka ziangalie cha kufanya ili jamii ioate huduma na fedha hizo.

Utazikosa hizo fedha@nyumisi na michepuko itaanza kulia njaa.

Simu 230,000/= kwa mwezi?Kuongea na nani na wapi wakati wasaidizi kutwa wanawasiliana kwa kazi wakati wewe mkuu unagida bia na vidosho wa Magugu Mbuyu wa Mjeumani?
Wewe jamaa bhana, yaani 230,000/- ndo unaona umemlipa mtu pesa, basi wewe utakuwa ni kibarua au ulikimbia umande ndo maana unaona hizo ni pesa nyingi. hahahaha.......nenda shule mzee...
 
Watu mmeshazoea umaskini, yaani unashangaa mtu kulipwa laki 2 kama allowance, ukisikia kuna mtu analipwa mshahara milioni 40 kwa mwezi unaweza kuzimia
 
Hahahaha,kwa sababu humu hatujuani kila mtu ana haki ya kusema lake.Nimekimbia umande?Niende shule?Mie maskini eti 230,000/= naziona nyingi,wewe bure kabisa.Subiri adjustments zifanyike kuhusu hizo allowances ndio utajua ni just a pinuts.Usiangalie amounts per individuals,bali zidisha wote wanaostahili hizo stahiki mara mwezi halafu mara 12 ndio upate uhalisia.

Acha mikogo bwana mdogo.

Back
Top Bottom