Kwa mahaba ulionipa...

Kwa mahaba ulionipa...

mzaziaged

Senior Member
Joined
Oct 16, 2013
Posts
198
Reaction score
29
Najiiimbia tuu wakuu ndo nimeamka now kutoka kwenye iddi jana, nafanya mpango kurudi nyumbani now kuna mtu naagana nae kwanza hapa
 
unajiimbia?

kajirekodie sasa!!

unafikiri hii ni JF star search?
 
Najiiimbia tuu wakuu ndo nimeamka now kutoka kwenye iddi jana, nafanya mpango kurudi nyumbani now kuna mtu naagana nae kwanza hapa

leo pia idd, endelea kupigwa kilaji kwa raha zako mkuu,.
 
Utoto ni kazi !

Sent from my BlackBerry - jamiiforums
 
Back
Top Bottom