Kwa madeni hatujambo

Ni nchi maskin lkn madeni lukuki wananchi hoi hakuna tumaini la kesho

Uwiano wa umasikini na madeni upo 'direct proportional'....sa kwa nini unaweka 'lakini' hapo kati?! Hukusoma Kiswahili sanifu shuleni? Au ndio wa 'academia' nyie?
 
Back
Top Bottom