MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Yaani mnapunguza idadi muda wa kufanya tathmini yenu ninyi?
Mnatimua watu wenye mawazo tofauti ndani ya Chama? Mnanaminya demokrasia ndani ya chama?
CCM kulikua na vijana makini na muhimu sana kwa siasa za Tz ambao JK alishawalea, sasa mnawaziba midomo wasiseme! Nawaambieni hawa vijana walikua na ndoto za kufikia mbali kisiasa, hawatasubiri watatafuta pa kulelewa.
2020 wawekeni watu wazima wazee. kugombea Urais, lakini upinzani umeshawasoma vizuri wao watawawekea vijana wadogo below 50 ili kuleta changamoto wazee mtakaowaweka ninyi.Kwa sababu vijana wenu mmeshawaziba midomo, hiyo ni fursa kwa upinzani.