Kwa maandamano haya dikteta Putin anaondoka, Pia huko Hongkong hakukaliki, wanasema ni USA anashnikiza

Marekani ilisema hakuna hata mwanajeshi wake mmoja atayeshitakiwa huko ICC regardless amefanya makosa gani ya kivita.

So Icc ni kwa ajili ya nchi zenu Maskini lkn sio kwa ajili ya Super powers.
Marekani sio mwanachama wa ICC.

Ana haki ya kukataa kushtakiwa ICC!
 
Sio zote. Hata Burundi ilishajitoa kwa kuogopa kushughulikiwa.

Lakini ubaya wa kujitoa ni kwamba hiyo haizuii ICC kuendesha mashtaka ya uhalifu uliotokea kabla ya nchi kujitoa!
Sasa Burundi na yenyewe si ni shithole country tu.
 
Wewe nilikuona uko kiintelectual zaidi lkn ulivomaliza ukawa kama hao pro Putin tu.....upande wako unaonekana tayari
 
Mmmmh kwa hili sidhani kama litamuacha jamaa asee maana raia zinazidi kumiminika asubuhi na jioni yakwetu macho
 
Nawasikitikia Sana hao waandamanaji kitakachowapata, maana wakishatangazwa TU Ni wasaliti wa taifa wote wanapotezwa.....
 
Kinacho tokea sasa hivi Hongkong ni nini ? Mbona hao Wachina hawatumii hiyo technique ya Tiananmen Square ?

Dunia ya leo sio ya jana mjomba acha kuishi kwa mazoea .
Walijaribu kuweka kambi airport waulize kwasasa kama bado wapo airport na waliapa hawatoondoka airport.
 
Duuuh salaaaale
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…