Kwa Lowassa Ulutheri Dhambi, kwa Magufuli Ukabila Ruksa!!!

Manjagata

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
17,506
Reaction score
20,484
Kwanza nianze kwa kuwaomba radhi Mods kama nitawakwaza kwa hii post na pili nitoe onyo kwao, hii siyo haki posts zinazomchafua Lowassa mnaziacha zinajadiliwa lakini zinazomgusa Magufuli mnaziondoa fasta zinapoonekana machoni kwenu na nyie mnashabikia ukabila na ukanda nini? Mods hebu tuheshimiane bwana! Post ya aina hii ninayotaka kuileta nimekuwa nikiitupia hapa lakini fasta inaondolewa, mnafikri mimi nafanya uchochezi hapa? Mimi ni Msukuma lakini nakwazika na ukabila unaopandikizwa miongoni mwetu.

Kwa miaka mingi Wasukuma tumeishi bila kujali ukabila lakini nashangaa mwaka huu maccm yameingia kwa kasi kutuaminisha kwamba zamu hii ni yetu Wasukuma kuingia ikulu. Sasa kwa muktadha huo inakuwaje dhambi kwa Lowassa kusema ni zamu ya Walutheri? (Kama kweli alitamka hivyo).

Nimesikia malalamiko ya ma-ccm kwenye majukwaa kuhusu kauli ya mh. Lowassa na Ulutheri, mbona nyie maccm mnapandikiza ukabila hawajawalalamikia? Hii SMS inayozunguka Usukumani ni ya nini kama siyo ukabila huo?

SMS yenyewe inasema hivi nanukuu "Wasukuma oyeeeeeee!! Pigia kura yako ngosha. Hii ni zamu yetu WASUKUMA kuliongoza Taifa, uwezo wa kushinda tunao na nia tunayo. Chagua MAGUFULI ili awe MSUKUMA wa kwanza kuwa RAIS wa TANZANIA. CCM OYEEEEEEEEEE!!! Tuma SMS hii kwa WASUKUMA wote waliomo kwenye cm yako!" Mwisho wa kunukuu.

JE, huu siyo ukabila? hii ndo gia waliyoingia nayo ccm baada ya mbinu ovu kushindwa na Wasukuma wenzangu wamehadaika sijapata kuona! Basi kama ni habari ya zamu nasema hii ni zamu ya Walutheri, zamu ya Wamaasai, zamu ya kanda ya kaskazini!!

JE, dhambi ya ukabila ina nafuu kuliko ya udini? Hii SMS inazunguka kwa kasi sana huku Usukumani kama kuna mtu anabisha hebu wale wenye mamlaka au fursa za ku-access mitandao ya cm wafuatilie kama hawataikuta hii SMS! Mwisho niwaombe viongozi wa UKAWA walifuatilie hili na watuletee majibu!

Nitachagua kiongozi kutokana na uwezo wake wala sitafuata ukabila wake, dini yake, jinsi yake wala rangi yake.

cc: Tumaini Makene
 
Nani alikudanganya unaweza kuhalalisha kosa kwa kufanya kosa.

Mbaya zaidi, unachotueleza hapa ni story zako lakini kinachojadiliwa kuhusu ubaguzi wa Lowassa katika msingi wa dini uko kwenye video ambayo inaonyesha akitamka maneno hayo.

Nadhani MOD's walikuwa sahihi kuondoa thread yako kwa sababu haina ushahidi/vielezo vinavyoonyesha kile unajaribu kukijengea hoja ya nguvu.
 
Kwanza nianze kwa kuwaomba radhi Mods kama nitawakwaza kwa hii post na pili nitoe onyo kwao, hii siyo haki posts zinazomchafua Lowassa mnaziacha zinajadiliwa lakini zinazomgusa Magufuli mnaziondoa fasta zinapoonekana machoni kwenu na nyie mnashabikia ukabila na ukanda nini? Mods hebu tuheshimiane bwana! Post ya aina hii ninayotaka kuileta nimekuwa nikiitupia hapa lakini fasta inaondolewa, mnafikri mimi nafanya uchochezi hapa? Mimi ni Msukuma lakini nakwazika na ukabila unaopandikizwa miongoni mwetu.

Kwa miaka mingi Wasukuma tumeishi bila kujali ukabila lakini nashangaa mwaka huu maccm yameingia kwa kasi kutuaminisha kwamba zamu hii ni yetu Wasukuma kuingia ikulu. Sasa kwa muktadha huo inakuwaje dhambi kwa Lowassa kusema ni zamu ya Walutheri? (Kama kweli alitamka hivyo).

Nimesikia malalamiko ya ma-ccm kwenye majukwaa kuhusu kauli ya mh. Lowassa na Ulutheri, mbona nyie maccm mnapandikiza ukabila hawajawalalamikia? Hii SMS inayozunguka Usukumani ni ya nini kama siyo ukabila huo?

SMS yenyewe inasema hivi nanukuu "Wasukuma oyeeeeeee!! Pigia kura yako ngosha. Hii ni zamu yetu WASUKUMA kuliongoza Taifa, uwezo wa kushinda tunao na nia tunayo. Chagua MAGUFULI ili awe MSUKUMA wa kwanza kuwa RAIS wa TANZANIA. CCM OYEEEEEEEEEE!!! Tuma SMS hii kwa WASUKUMA wote waliomo kwenye cm yako!" Mwisho wa kunukuu.

JE, huu siyo ukabila? hii ndo gia waliyoingia nayo ccm baada ya mbinu ovu kushindwa na Wasukuma wenzangu wamehadaika sijapata kuona! Basi kama ni habari ya zamu nasema hii ni zamu ya Walutheri, zamu ya Wamaasai, zamu ya kanda ya kaskazini!!

JE, dhambi ya ukabila ina nafuu kuliko ya udini? Hii SMS inazunguka kwa kasi sana huku Usukumani kama kuna mtu anabisha hebu wale wenye mamlaka au fursa za ku-access mitandao ya cm wafuatilie kama hawataikuta hii SMS! Mwisho niwaombe viongozi wa UKAWA walifuatilie hili na watuletee majibu!

Nitachagua kiongozi kutokana na uwezo wake wala sitafuata ukabila wake, dini yake, jinsi yake wala rangi yake.

cc: Tumaini Makene

Bila shaka umeamua kujifanya kipofu. .
Hiyo sms haionyeshi source lakini kauli ya mgombea wa ukawa kaitoa yeye mwenyewe. Ingekuwa na mashiko hoja yako ikiwa ungetuletea video au sauti ya mgombea wa ccm akuombe kura kwa minajiri ya kabila lake na sio hizo propaganda ulizoweka.
Mungu ibariki Tanzania
 
Mwaka huu shurti mkae! Mbendembende, nyang'anyang'a, kifo cha mende!!
 
Back
Top Bottom