kwa Laki 200,000 nitapata bold 9780 nzuri ???

king Chuga

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
510
Reaction score
52
Blackberry bold 9780 nzima kabisa ntapata kwa bei hiyo ??
 
Mh.....labda ya mchina ndgu yangu
 
mimi nitakupatia blackberry torch 9800 nicheki 0717 022737
 
ipo blackberry 9790 slim n touch kwa 260000tsh wasiliana nami 0713388226
 
Blackberry bold 9780 nzima kabisa ntapata kwa bei hiyo ??

laki 200,000/= (100,000 x 200,000/=) ni 20 Billion kwa ajili ya simu? au ulimaanisha sh. laki mbili? well kama ni laki mbili nenda pale Break Point kuna wale ma chalii watakusaidia! siku njema!
 
laki 200,000/= (100,000 x 200,000/=) ni 20 Billion kwa ajili ya simu? au ulimaanisha sh. laki mbili? well kama ni laki mbili nenda pale Break Point kuna wale ma chalii watakusaidia! siku njema!

Ww hata sjaelewa nn umechangia hapa .
 
Kwa bei iyo ata ukiuziwa ujue ni mchina,,.au imechakaa mbaya jpange make make ununue kitu kizur dukani guarantee one year,,..SIKU ZOTE RAHIC NI GHARI
 
Nakupa 9800 kama unataka kwa bei hiyo

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…