*Hizi kampuni ziwe fair jaman mbona kwenye matangazo colgate na whitedent wanaonyesha MENO lakini [HASHTAG]#ALWAYS[/HASHTAG] na FREESTYLE hawaonyeshi kitu chochote??*
Kwa mantiki yako, matangazo ya biashara ya condom yaonyeshe uhalisia jinsi inavyotumika? Unachotaka waonyeshe live kwenye video ama??? maana km ni kuonyesha utendaji michoro ktk bidhaa husika inayoonyesha matumizi, bidhaa ina maelezo ya kutosha ama michoro ya kueleweka kumuwezesha mtumiaji kujua matumizi sahihi ya utendaji kazi, nakushauri nunua uone labda utaelewa!