Kwa sasa nikirudi Bongo nitataka kutembea mikoani zaidi.Upanga nyumba zimezidi kuwa chafu sana
Huu utoko sijui ni (Grime-build up of dirt), labda sababu ya vumbi za barabarani
Aisee, mkuu, sasa hivi kama unaendesha gari bongo ,utashangaa ya hawa bodaboda wa pikipiki, yaani unaendesha njia nzima unawakwepa wao, ni majanga sio kidogo, nitaweka clip uone mwenyewe, hawa ni kama wameruhusiwa kutofuta sheria za barabara, yaani wanapita kwenye red traffic lights, mbele ya traffic amesimama tu, na sio mmoja ni kama nzige, yaani wamevuruga barabara zote, ni makelele yao yao ya honi, halafu wamefunga honi za mabasi, ni fujo tupu barabarani.
Sio ile Dar unayoijua kama hujafika huku miaka 10 iliyopita, kwa kweli haikuvutii kabisa kusema imeendelea ni majanga tupu, hakuna ustaarabu kwenye kila kitu.
Baada ya kukaa nje ya nchi bila kutembelea nyumbani kwa takbirani miaka 10, juzi nimetua bongo kwa matarajio mengi ya kuona yake mapichapicha ya mitandaoni, lakini nilichokikuta ni hakina tofauti yeyote kuonyesha miji wa Dar es Salaam kuwa umejengeka
Kwanza nimechoshwa na uwingi wa watu bila mpangilio, yaani watu wapowapo tu wamekaa na kusimama kila sehemu ya Mji bila shughuli, hata kama baadhi ya barabara zimejengwa lakini watu wakaakaa pembezoni na kazi Yao kuvuka upande huu na ule wa barabara kutwa nzima na wachuuzi wametanda barabara nzima mpaka barabara zinakosa mvuto.
Ile mitaa ilikuwaga ya utulivu na kishua sio tena hivyo ni makelele ya bodaboda na wapiga debe usiku kucha.
Katikakati mjini uhindini kila nyumba imegeuzwa restaurant viti vimejaa maeneo ya watembea kwa mguu.
Halafu pia mji umejaa wazungu choka mbaya sijui wanatokea nchi gani?
Yaani nimesikitishwa na nimetapeliwa na mapicha ya mtandaoni
Kwa kweli Bongo bado sana na Tena sana.
Povu ruksa!
😆😆😆ndio asili yako hii sasa huko ulipokuwa walikuwa wanakuona kama hawa wazungu choka mbaya wa huku.
Soma uzi wa cute wife kuhusu hao wazungu wa kigambon,yy alikutana na mmoja huyo kisa chake utacheka mpaka basHahaha wazungu choka mbaya.
Mkuu hao wamejaa kigamboni huku sijui hata wanatoka nchi gani.
Wengine wamepanga kabisa mtaani huku asubuhi tunakutana nao kwenye mihogo.
Satellite ni kifaa kilichowekwa kwenye obiti kuzunguka Dunia kwa sababu za kisayansi, kijeshi au mawasiliano
Ameshauri msisimame wengi mabarabarani na kuvuka tu kila muda.Muwe mnatulia na kuskuti vizuri ili nchi iendelee kama mambelembele.Iwe mbele-mbele yao!Tuachen na dar yetu kwahiyo tusivuke barabra
Mkuu.Sijawah fika developed country yoyote duniani. Lakini nashindwa kuelewa Kwanini Watz wanaishi maishi ya kis*nge namna hii, hovyo hovyo tu inanikera mno mno.
In FACT mazingira ya Tz yananiharibu sana AKILI nimeliona hili
Nikienda sitarudi huku.
Kwa hapa Tz sehem nimeona ina afadhali ni Tanga Mjini iko vizuri Sana hata hali ya hewa ni Safi very fresh, Mara nyingi huku dsm I use face mask japo mijitu huwa inanishangaa shangaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bongo, dar es salaam[emoji23]
Kwa kweli sidanganyi kwa hili
Kwangu imekuwa culture shock!
Sababu baada ya muda mrefu na sehemu niliyotoka sijaona watu wamechonga mabenchi yao ya kukaa pembezoni mwa barabara siku nzima
Nilikuwa naitamani bongo sio mchezo, nikiangalia you tube, mitandaoni tz nzuri sana hila kwa ground ni case tofauti sana.Baada ya kukaa nje ya nchi bila kutembelea nyumbani kwa takbirani miaka 10, juzi nimetua bongo kwa matarajio mengi ya kuona yake mapichapicha ya mitandaoni, lakini nilichokikuta ni hakina tofauti yeyote kuonyesha miji wa Dar es Salaam kuwa umejengeka
Kwanza nimechoshwa na uwingi wa watu bila mpangilio, yaani watu wapowapo tu wamekaa na kusimama kila sehemu ya Mji bila shughuli, hata kama baadhi ya barabara zimejengwa lakini watu wakaakaa pembezoni na kazi Yao kuvuka upande huu na ule wa barabara kutwa nzima na wachuuzi wametanda barabara nzima mpaka barabara zinakosa mvuto.
Ile mitaa ilikuwaga ya utulivu na kishua sio tena hivyo ni makelele ya bodaboda na wapiga debe usiku kucha.
Katikati mjini uhindini kila nyumba imegeuzwa restaurant viti vimejaa maeneo ya watembea kwa mguu.
Halafu pia mji umejaa wazungu choka mbaya sijui wanatokea nchi gani?
Yaani nimesikitishwa na nimetapeliwa na mapicha ya mtandaoni
Kwa kweli Bongo bado sana na Tena sana.
Povu ruksa!
We unazani maendeleo ni hayo majengo marefu jiji letu tumefeli sana swala la mipango miji mitaa mingi dar gari la majitaka haliingii wajawazito sijui wakipata uchungu huwa inakuwaje hiyo mitaa ya manzeseTatizo lako una fananisha bongo na Huko uliko toka.
Fananisha Tanzania ya miaka kumi ilio pita na hii ya Leo. Hapa ndo ulete maoni yako
Hama wewe basiSehemu yoyote where there's no anymore peace of mind Unabidi kuondoka hiyo Sehemu .
Honestly nchi yetu watu wamezubaa Sana they all talking about peoples
Gossiping
Blaming
Ego and a lot of shit*.
Jikite kwenye madaHama wewe basi
Uvccm.watakuja kutukana na kusema wewe umetumwana mabeberuBaada ya kukaa nje ya nchi bila kutembelea nyumbani kwa takbirani miaka 10, juzi nimetua bongo kwa matarajio mengi ya kuona yake mapichapicha ya mitandaoni, lakini nilichokikuta ni hakina tofauti yeyote kuonyesha miji wa Dar es Salaam kuwa umejengeka