Nimefikia kwenye kibanda changu nilijenga kigamboni kizota huku lakini hata huku bado naona ni maporini tu niludhani daraja litabadilisha kukuza kigamboni bado sanaUmefikia wapi? Mbona tunaambiwa Dar tofauti ndogo sana na Copenhagen.
Bora miaka 15 iliyopita kuna sehemu zilikuwa na mipango mji lakini sasa zimevurugwa hovyo kabisaTatizo lako una fananisha bongo na Huko uliko toka.
Fananisha Tanzania ya miaka kumi ilio pita na hii ya Leo. Hapa ndo ulete maoni yako
Huku ameshindwa Elon Musk na hela zakeUmekuja na fursa gani mkuu? Naomba kibarua.
Ya kutosha kula bata kiwanja chochote lakini nimefadhaika na kukaa ndani tuUme toka "nje" na Bei gani
Tisi hao.uwingi wa watu bila mpangilio, yaani watu wapowapo tu wamekaa na kusimama kila sehemu ya Mji bila shughul
Wengi ni majini nchi hii.Baada ya kukaa nje ya nchi bila kutembelea nyumbani kwa takbirani miaka 10, juzi nimetua bongo kwa matarajio mengi ya kuona yake mapichapicha ya mitandaoni, lakini nilichokikuta ni hakina tofauti yeyote kuonyesha miji wa Dar es Salaam kuwa umejengeka
Kwanza nimechoshwa na uwingi wa watu bila mpangilio, yaani watu wapowapo tu wamekaa na kusimama kila sehemu ya Mji bila shughuli, hata kama baadhi ya barabara zimejengwa lakini watu wakaakaa pembezoni na kazi Yao kuvuka upande huu na ule wa barabara kutwa nzima na wachuuzi wametanda barabara nzima mpaka barabara zinakosa mvuto.
Ile mitaa ilikuwaga ya utulivu na kishua sio tena hivyo ni makelele ya bodaboda na wapiga debe usiku kucha.
Katikakati mjini uhindini kila nyumba imegeuzwa restaurant viti vimejaa maeneo ya watembea kwa mguu.
Halafu pia mji umejaa wazungu choka mbaya sijui wanatokea nchi gani?
Yaani nimesikitishwa na nimetapeliwa na mapicha ya mtandaoni
Kwa kweli Bongo bado sana na Tena sana.
Povu ruksa!
Na nilivyoomba viza mtandaoni chapchap nikapata nikiwa huko uganda, nikaona yes kweli tunaanza kuendelea, lakini matarajio yote yamepotea baada ya kufikaTisi hao.
Habari za Uganda mkuu ?
Huku ameshindwa Elon Musk na hela zake
Mimi nilete fursa si ndio nitageuzwa fursa
Huku kwa kweli hakukaliki kwa sasa
Hujui utamu wa bongo....kwa sasa jiji lipo pembezoni mjini kati watu weshapakimbiaBaada ya kukaa nje ya nchi bila kutembelea nyumbani kwa takbirani miaka 10, juzi nimetua bongo kwa matarajio mengi ya kuona yake mapichapicha ya mitandaoni, lakini nilichokikuta ni hakina tofauti yeyote kuonyesha miji wa Dar es Salaam kuwa umejengeka