Kwa imani ya kikristu yuko sahihi 100%. Upendo unatangulia yote, hivyo kujibagua kwa kujenga ukuta ni kinyume na Biblia Takatifu. Kwa imani ile nyingine yawezakuwa kakosea.
Kwani unafikiri hawafahamu mkuu, hapo kinachotafutwa ni chokochoko na kutengeneza tafsiri potofuUkuta anaozungumzia sio physical wall, ni ukuta ndan ya mioyo yetu. Na huo ukisto ni utu wema. When u look anything in a negative way utaelewa negative. Try to be neutral unapotafsir kitu uone maana utakayopata. Mi sion kosa lolote hapo
amekosea nn?au kwasababu ametema yai?