Bila kupepsa macho ni mtanzania mmoja tu ndani ya nchi hii aliye nje ya CCM awezae kumtetemesha Magufuli urais 2020 iwapo tu ikitokea atangaze nia ya kugombea na si mwingne ni Dr. Slaa. Nasema hivi nikiwa na maana ya kwamba mpaka sasa imethibitika kabisa yale yote mema tuliokuwa tunayaona CHADEMA kabla ya 2015 ya kujionesha kabisa ni chama chenye dhamira ya dhati na nchi hii ni Dr. Slaa ndie aliyekuwa ni kiongozi bora kabisa katika kukijenga chama hiki.
Naamini tulio wengi kamwe hatuwezi pinga hili kwa saababu CHADEMA ya leo baada ya ujio wa mzee wetu na kuondoka kwa Dr. Slaa inapyaa sana na kimekuwa ni chama cha ajabu mno kiasi kwamba up to this moment hakuna mtu ambaye chama kinaweza kumsimamisha kama mgombea urais wa kupambana na Magufuli.
Kingine ukiliangalia hili suala la mgombea urais kupitia CHADEMA up to this moment ni kama kuna mtu ambae tayari ana hatimiliki ya kuwa mgombea wa urais 2020.
Kwa upande wangu naiona CHADEMA vipande vipande kuelekea 2020 iwapo tu ikitokea CHADEMA ikatambua ni nini maana na uwepo wa DEMOKRASIA katika mchakato wa kutafuta mgombea urais 2020. Hapa kama nawaona wafia chama wakimshinikiza Lissu achuane na mzee wetu.
Je, mzee wetu yupo tayri kwenye hili? na je wafusi wa mzee wetu wapo tayari kuona mzee anapigwa chini?
Ukweli mchungu CHADEMA mmekuwa mstari wa mbele sana kushadabia minyukano ndani ya CCM mpaka kufikia kusema huu ni mwisho wa CCM. Lakini wapi CCM ndio kwanza inazidi kumea....na hivi CDM hakuna kabsa wazee wenye BUSARA zao wakuweza kuepusha upepo mbaya ndani ya chama sijui kama kitapona hiki CHAMA.... Sasa hilo lenu linakuja mtachomoka?
Ni suala la muda tu.
Bro ZITTO wherever you are....ebu ongea na MZEE huko....aje atleast mtengeneze UPINZANI imara ndani ya NCHI hii maana kwa sasa hakuna UPINZANI ni janga...