Barikiel
JF-Expert Member
- Feb 2, 2014
- 403
- 405
Nimeangalia hii
hadi nime cheka sikucheka tu kwa furaha ila kejeli. Hapa kuna mkusanyiko wa rika zote alafu teja mmoja anaropoka maneno ambayo hayana maadili na watu wanshangilia wanafurahi hakuna wa kukemea hili siyo muandaaji wa show wala vyombo vya usalama.View attachment VID_25000127_143201_378.mp4