Kwa kipigo hiki israel ijifunze

Kwa kipigo hiki israel ijifunze

Status
Not open for further replies.

bluecolour

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2013
Posts
201
Reaction score
98
Tangu Kuanza Vita Huko Mashariki Ya Kati Kati Ya Israel Na HAMAS Tumesikia Mengi.! Lakn Kubwa Ni Taarifa Za Israel Kurusha Makombora Mashuleni, Masokoni Na Katika Mikusanyiko Tofauti Kuua Watoto Na Wanawake Wasio Hatia.. Lakn Hatuambiwi HAMAS Wamefanya Nini..! Hii Ni Dalili Ya Kushindwa Kukubwa Kwa Israel Kwa Points Zifuatazo:- 1-Israel Mpaka Sasa Tayari Imepoteza Makomando Na Wanajeshi 100 Huko Bukiwa Hakuna Taarifa Ya HAMAS Kupoteza Hata Mpiganaji Acha Komandoo.. 2-Pili Kitendo Cha Israel Kushambulia Shule, Masoko Na Kuua Watoto Na Wanawake Wasiohusika Badala Ya HAMAS Ni Dalili Ya Wazi Ya Kuishiwa Mbinu Za Kijeshi Coz Wao Wanapigana Na HAMAS Na C Watoto Na Wanawake.! 3-Kitendo Cha Israel Taifa Linaloaminika La Nne Duniani Kijeshi Kusulubiwa Na Kikundi Kidogo Cha Watu Kisio Na Nchi Ni Aibu Nyingne Kama Ile Ya Kichapo Cha Hizbullah.! 4-Israel Ina Kila Aina Ya Kifaa Cha Kijeshi Vp Ishindwe Kuwakamata HAMAS Kikundi Kidogo Tu Mpaka Kufikia Hatua Ya Kuita Askari Wa Ziada? HII DALILI YA KUPATIKANA KWA HAKI M/KATI.
 
Mkuu nenda kajiunge na Hamas utoe kichapo kwa Israel.
 
Huu ni ushauri mzuri kabisa, akitaka nitamchangia nauli hawahi kwenda kuisadia HAMAS iendelee kuwaua makomandoo wa Israel mpaka wafikie 1,000

Tiba
 
hao Hamas wangekuwa wanaume kweli wasingekuwa wanajificha kwa raia wasio nahatia nakuanzishia mashambulizi yao,wangewaface Israel maana simewavamia
 
Komenti za kijinga ambazo hazina hata ukweli wala utafiti wa kina.
 
Usijitoe ufahamu najua unajua lkn unataka kujuzwa zaid utajuzwa tu watakuja wajuzi wa mambo hapa mda si mrefu
 
Takwimu zinaonesha kwa mwezi islamic torrorist wanaua watu 1568 kwa mwezi dunia nzima. Zidisha kwa mwaka halafu uone watoto wangapi wanaachwa yatima na uongelee hilo
 
Hivi umetoroka lini Milembe Hospital maana hali yako inaonekana Baado kabisa hujapona.
Tangu Kuanza Vita Huko Mashariki Ya Kati Kati Ya Israel Na HAMAS Tumesikia Mengi.! Lakn Kubwa Ni Taarifa Za Israel Kurusha Makombora Mashuleni, Masokoni Na Katika Mikusanyiko Tofauti Kuua Watoto Na Wanawake Wasio Hatia.. Lakn Hatuambiwi HAMAS Wamefanya Nini..! Hii Ni Dalili Ya Kushindwa Kukubwa Kwa Israel Kwa Points Zifuatazo:- 1-Israel Mpaka Sasa Tayari Imepoteza Makomando Na Wanajeshi 100 Huko Bukiwa Hakuna Taarifa Ya HAMAS Kupoteza Hata Mpiganaji Acha Komandoo.. 2-Pili Kitendo Cha Israel Kushambulia Shule, Masoko Na Kuua Watoto Na Wanawake Wasiohusika Badala Ya HAMAS Ni Dalili Ya Wazi Ya Kuishiwa Mbinu Za Kijeshi Coz Wao Wanapigana Na HAMAS Na C Watoto Na Wanawake.! 3-Kitendo Cha Israel Taifa Linaloaminika La Nne Duniani Kijeshi Kusulubiwa Na Kikundi Kidogo Cha Watu Kisio Na Nchi Ni Aibu Nyingne Kama Ile Ya Kichapo Cha Hizbullah.! 4-Israel Ina Kila Aina Ya Kifaa Cha Kijeshi Vp Ishindwe Kuwakamata HAMAS Kikundi Kidogo Tu Mpaka Kufikia Hatua Ya Kuita Askari Wa Ziada? HII DALILI YA KUPATIKANA KWA HAKI M/KATI.
 
mkuu nenda kajiunge na hamas utoe kichapo kwa israel.

nafikiria kufanya hivyo mkuu..! Tena kichapo kama kile cha hizbullah c unakumbuka kaka..?? Jamaa wanapigika bila shida wao kazi kupiga mashule na masoko..!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom