Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,490
- 3,316
Habari JF, kwa sasa mivutano na teuzi za wawania Urais ,ubunge na udiwani ndani ya CCM ndio habari kuu mitaani kwa wote wana CCM na wana CHADEMA, maandalizi ya uchaguzi yanaendelea na tuna miezi miwili .
Tundu Lissu na CHADEMA wana kesi ambazo hazijulikani mwisho wake lini na ni nini hatma yake ,CCM na vyama vingine 18 hili hawajali wanaendelea na maandalizi ya uchaguzi October 2025 .
Ni ajabu wana CHADEMA sasa hivi na wao wana mtu wao katika wawania ubunge wa CCM wanataka apite awe mbunge au akatwe .
Binafsi naona hoja ya No reforms No election imechelewa sana tungeanza nayo miaka miwili Nyuma kipindi cha Mheshimiwa Mbowe kwa kuwekewa mkazo mkubwa,Elimu kwa raia , ikiwemo nguvu ya umma na sio kipindi ambacho CCM washaanza michakato ya uchaguzi.
Kwa sasa nini kifanyike ili kwa huu muda mchache REFORMS zifanyike na CHADEMA tushiriki uchaguzi October 2025 ?