Kwa kina dada na kina mama tu

Kwa kina dada na kina mama tu

mtanisamehe nimeingia choo cha kike makusudi nione yanayoendelea humu, ILA NINGEPENDA KUJUA JINSIA YA MTOA MADA
 
Mleta mada achana na mambo ya wanawake, tujadili ya kwetu ya kiume tu
 
Ukitoa pesa ya saloon, pesa ya Brazilian hair, Gari japo RAV4 simu I phone 6 plus aaaaah yani ukigusa hata ukuchaa utamfikisha, Lakini kila siku unasema Usijali ipo siku mambo yatajipaa mmmmm sugua kama msugua Shaba akili haipo kabisaaaaa...
 
Wanaume nao siku hiz wavivu sanaa mnachoka haraka
 
Kuna mwanaume na mwana hume!mwanaume haswa aliyekamilika apande juu halafu bidada awe mbali,thubutu!mwanaume halisi atafurukuta hata dakika 20 mpaka 30 hajapata bao wewe mwenyewe utatoka huko uliko utarudi hapa.
 
Back
Top Bottom