TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,891
- 11,288
Ni kweli kabisa kamanda... Nadhani kuna haja ya kuelimisha umma kwamba lengo letu ni maendeleo yatokanayo na haki, uruhu na usawa chini ya umbrella ya uwajibikaji na si mambo ya kafu, chadema na ccm...Kwa usahihi ni kujirahisisha mno kifikra , sababu alizotoa mtoa mada hazina mbele wala nyuma.Ni sawa na kupigia upatu timu ya mpira badala ya kuwa Great Thinker.
Twaweza kuwa tumeegemea CDM, KAFU au CCM lakini haina maana kudharau wa upande mwingine na kuona hawana maana wala kushabikia chama tukipendacho blindly... Tanzania haitajengwa na mahabiki, itajengwa na wenye mapenzi mema