MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 12,695
- 31,498
Bwashee TBL ipo kwa ajili gani?Wana JF
Kuna kitu kikubwa kipo kwenye hili suala la Pierre, kwangu natazama fursa kwenye kila tabia mbaya. Wabobezi wa tabia mbaya kama vile uzinzi, ukora, ulozi, wakigundulika wanaweza wakatusua kama ndugu yangu Pierre. Ni suala la muda tu, tujitahidi kuonyesha tabia zetu mbaya hadharani
Hawakuwepo kwenye hamasa za Taifa Stars?Amber rutty,gigi money,
Acha wivu mwenzako Yuko London now, wewe uko jf hujui hatma ya maisha yako.
Unanionea tu hatima yangu naijua sana ....ni kifo tu!kama hujui yako ni wewe.Ach
Acha wivu mwenzako Yuko London now, wewe uko jf hujui hatma ya maisha yako.
Fanya vya maana wewe utusue na uibadilishe nchi
Siku zote maskini huwa Wana wivu Sana na watu wabaya mno,... Tatzo ni mafanikio ya Pierre na Wala si unywaji pombe wake,Unanionea tu hatima yangu naijua sana ....ni kifo tu!kama hujui yako ni wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa poa mkuu!Tajiri nitoe basi nianze kuchoma mahindi.Siku zote maskini huwa Wana wivu Sana na watu wabaya mno,... Tatzo ni mafanikio ya Pierre na Wala si unywaji pombe wake,
John walker Sanaa yake ya mziki ilikuaje?, Mbna hakusema,.. shalobaro vipi
Muacheni Pierre ni zamu yake pambana utoboe ila Sio kumuonea wivu mwenzako
Mkuu kwanini unahisi kila mtu ana hali ngumu ya maisha?Unataka watu wote wawe walokole!?? Ndio dunia ilivyo, kuna kila aina ya watu : wachekeshaji, wafanya vituko, wafia dini, wehu, nk.
Usitake kujitia kiranja hapa? Kwahiyo unataka kubadilisha maisha yao ama?
Pambana na hali yako ngumu ya maisha!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtu gani?Mkuu kwanini unahisi kila mtu ana hali ngumu ya maisha?
Wana JF
Kuna kitu kikubwa kipo kwenye hili suala la Pierre, kwangu natazama fursa kwenye kila tabia mbaya. Wabobezi wa tabia mbaya kama vile uzinzi, ukora, ulozi, wakigundulika wanaweza wakatusua kama ndugu yangu Pierre. Ni suala la muda tu, tujitahidi kuonyesha tabia zetu mbaya hadharani
Swali juu ya swali, sasa namna hiyo si ulikua kilaza sana darasani
Kilaza maana yake nini?Swali juu ya swali, sasa namna hiyo si ulikua kilaza sana darasani
maana yake unawashwa makalio
Ngoja wenye tabia zao wajeHivi tabia ipi ya hovyo kati ya kumpiga makofi na mitama mtu mwenye umri sawa na baba yako mbele za watu. Mtu aliyeshika nyadhifa ya pili kwa madaraka makubwa kwenye nchi ,au
Kunywa pombe na kucheka na watu huku ukifurahi na kuhamasiaha uraifa na uzalendo kwa Taifa na Timu yake!??
Hivi nani msafi??
Ni wangapi wanatembea na mahirizi mifukoni na kushinda kwa Wachawi na waganga kutafuta umaarufu lakini wamejificha na kujifanya wachamungu huku wakipewa heshima kubwa na vyeo vikubwa na kuneemeka kwa kodi za wananchi.
Wangapi wanafanya tabia za hovyo kabisa kwa siri bila kuonekana kama Pierre anayeonekana live bila kificho ??
Hata hivyo sio vizuri kumwita mtu na familia yake kuwa ni mtu wa hovyo kama vile anakula na kulala kwako .
Sent using Jamii Forums mobile app