Kwa kauli hii ya Msigwa na jinsi upepo ulivyo hapa kuna maridhiano kweli?

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
889
Reaction score
2,863
Wakuu,

Natafakari tu.

Juzi tulimsikia Msigwa akisema plain and open kuwa hakuna mtu atakayelazimishwa kuingia kwenye maridhiano.

Hii kauli ya Msigwa haitofautiani sana na zile kauli walizokuwa wakitoa CCM kipindi kile cha Uchaguzi.
Walikuwa wanasema kabisa kwamba kama CHADEMA hawataki kushiriki kwenye Uchaguzi waache maana kushiriki Uchaguzi ni hiyari. Lakini kama mlivyoona Uchaguzi haukufanyika na watu wengi walifariki.

Soma pia: Wenje: Rais Samia alitekeleza mapendekezo ya CHADEMA lakini bado wakasusia uchaguzi

Sasa based on kauli za Msigwa, CCM wanarudia tena njia ile ile. Wataridhiana na mamluki na vyama vidogo vidogo kama ACT Wazalendo, CHAUMMA na vingine vingi alafu wataacha CHADEMA ambao ndio watu wa kwanza wanaotakiwa kuridhiana nao.

Binafsi kutokana na masuala haya 4 naona ni ngumu sana maridhiano ya kweli kufanyika
  • Kitendo cha Lissu kuwekwa ndani hadi sasa kinaacha doa kwenye suala zima la maridhiano

  • Kuweka "Tume Ya Mchongo" ambayo inashughulikia mauaji ya October 29. Wapinzani wa kweli hawaoni hiyo tume kama ni credible.

  • Vita ya Serikali na Kanisa Katoliki pia ni sababu nyingine. Kanisa Katoliki kama lingekuwa in good terms na Serikali basi maridhiano yangekuwa ni mepesi zaidi lakini kwa sasa ngoma ni ngumu

  • Matamko ya viongozi wa Serikali kuhusu maridhiano. Mfano Girishoni na Kihongosi inaonekana ni kama wameamua kufanya maridhiano as "by the way" ili ionekane maridhiano yamefanyika lakini hawana nia ya dhati ya kuleta amani
 
si muhimu wala lazima kwa wewe au mwingine kua kwenye hayo maridhiano ya waTanzania wenye mapenzi mema na taifa lao gentleman. maridhiano ni suala la utashi na hiyari ya mtu binafsi :NoGodNo:
 
Uzuri ni kuwa hakuna mtu atadanganyika kwa maigizo yao ya kipumbavu.
Halafu hiyo namba mbili yako, siyo wapinzani tu....binadamu wote wenye utu wanajua hilo ni genge haramu limepakwa rangi ili liitwe tume.
Majini wanyonya damu tu ndio wanaliita tume ya uchunguzi!
 
Binafsi sioni sababu ya serikali kuridhiana na wahalifu. Viongozi ndo wanajua zaidi na ninaheshimu uamuzi wao wa kufanya maridhiano. Kama CHADEMA hawataki wakae kwa kutulia. Lissu apambane na kesi yake.. yeye ni mtuhumiwa kama watuhumiwa wengine.
 
si muhimu wala lazima kwa wewe au mwingine kua kwenye hayo maridhiano ya waTanzania wenye mapenzi mema na taifa lao gentleman. maridhiano ni suala la utashi na hiyari ya mtu binafsi :NoGodNo:
Ni Bora hata kuwaamini ngedere ila sio ccm
 
Hivi ni upande upi zaidi unahitaji maridhiano? Tuanzie hapo kwanza.

Nakubali maridhiano yasiwe ya pande yoyote kuladhimishwa na kufanyika hadaa, kama itatokea maridhiano basi yawe ya kweli na haki.
 
Wakuu,

Natafakari tu.

Juzi tulimsikia Msigwa akisema plain and open kuwa hakuna mtu atakayelazimishwa kuingia kwenye maridhiano.

Hii kauli ya Msigwa haitofautiani sana na zile kauli walizokuwa wakitoa CCM kipindi kile cha Uchaguzi.
Walikuwa wanasema kabisa kwamba kama CHADEMA hawataki kushiriki kwenye Uchaguzi waache maana kushiriki Uchaguzi ni hiyari. Lakini kama mlivyoona Uchaguzi haukufanyika na watu wengi walifariki.

Soma pia: Wenje: Rais Samia alitekeleza mapendekezo ya CHADEMA lakini bado wakasusia uchaguzi

Sasa based on kauli za Msigwa, CCM wanarudia tena njia ile ile. Wataridhiana na mamluki na vyama vidogo vidogo kama ACT Wazalendo, CHAUMMA na vingine vingi alafu wataacha CHADEMA ambao ndio watu wa kwanza wanaotakiwa kuridhiana nao.

Binafsi kutokana na masuala haya 4 naona ni ngumu sana maridhiano ya kweli kufanyika
  • Kitendo cha Lissu kuwekwa ndani hadi sasa kinaacha doa kwenye suala zima la maridhiano

  • Kuweka "Tume Ya Mchongo" ambayo inashughulikia mauaji ya October 29. Wapinzani wa kweli hawaoni hiyo tume kama ni credible.

  • Vita ya Serikali na Kanisa Katoliki pia ni sababu nyingine. Kanisa Katoliki kama lingekuwa in good terms na Serikali basi maridhiano yangekuwa ni mepesi zaidi lakini kwa sasa ngoma ni ngumu

  • Matamko ya viongozi wa Serikali kuhusu maridhiano. Mfano Girishoni na Kihongosi inaonekana ni kama wameamua kufanya maridhiano as "by the way" ili ionekane maridhiano yamefanyika lakini hawana nia ya dhati ya kuleta amani
Nani kakwambia maridhiano ni ya vyama vya siasa!?.. ikiwezekana kwenye maridhiano pasiwe na vyama vya siasa
 
Hayo maridhiano ni kati ya nani na nani? Kipi ambacho hakipo sawa kinachohitaji maridhiano ili kikae sawa?
Nadhani hayo yakifafanuliwa ndipo itajulikana ni nani anapaswa kuwepo kwenye hayo maridhiano na ni yapi ya kuyajadili ili yawekwe sawa kwenye hayo majadiliano.
Maridhiano huwa ni baina ya watu au makundi yanayosigana/yaliyosigana.
 
Back
Top Bottom