Babuu blessed
JF-Expert Member
- Oct 14, 2010
- 1,362
- 490
Utoboaji wa masikio wa kimila ni tofauti na utoboaji wa kuvaa hereni sikio moja
Inatisha inasikitisha sana.
Hiyo ni laana na itawatafuna maisha yao yote.
Mbona hamna kitu mkuu?....Ama bado haujayaupload nini?Ndugu wana JF,Natambua kuwa mtandao wa JF unatembelewa na watu wa aina mbalimbali wakiwemo watoto,wazee,vijana,kina Mama,Kina Baba n.k.Matusi aliyoyatamka Mh Lusinde kuyaandika hapa kwakweli ni aobu tupu.Ninaomba ni ya upload kwenye You Tube,kwa yeyote atakaye hitaji kusikiliza atembelee CCM Lusinde Matusi
Yawezekana matusi ni makubwa mno hivyo anaogopa watoto watayafuata YouTube!!
Upload watu wasikie ujiunga ...
Ndugu wana JF,Natambua kuwa mtandao wa JF unatembelewa na watu wa aina mbalimbali wakiwemo watoto,wazee,vijana,kina Mama,Kina Baba n.k.Matusi aliyoyatamka Mh Lusinde kuyaandika hapa kwakweli ni aobu tupu.Ninaomba ni ya upload kwenye You Tube,kwa yeyote atakaye hitaji kusikiliza atembelee CCM Lusinde Matusi
wekeni hiyo link ya hiyo video hapa.. Cnt comment anythin kabla cijaona..
Mbona mnafura kama vile hammujui Lusinde.
Huwezi kumpangia wakati gani aiweke wewe endelea na shughuri zako akiiweka utaikuta, hata hivyo aweke asiweke haitabadili tabia ya Lusinde wala matokeo ya Arumeru. Inawezekana pia na utaalamu wa kuiweka unasumbua au anasubiri kina Mwigulu na watu kama nyie mtoe mapovu ndipo awa prove failure you never know so stay calm mapovu hayatakusaidia chochote.Hakuna aliyefura hapa. Ni kweli Lusinde tunamjua kuwa ni domo kaya. Lakini haya yaliyoandikwa hapa yamezidi, hivi huoni mkuu? Au tunataka kulazimisha kwa sababu ya upinzani wa kijinga? Kwa nini tujilazimishe kuamini upuuzi kwa sababu ya ushabiki wa chama? Hiyo video ina gharama gani kuiweka hapa? Basi atuweke hata hiyo link tu ili tuhangaike nayo wenyewe. Ameshindwa, tukae kimya mkuu?
Huwezi kumpangia wakati gani aiweke wewe endelea na shughuri zako akiiweka utaikuta, hata hivyo aweke asiweke haitabadili tabia ya Lusinde wala matokeo ya Arumeru. Inawezekana pia na utaalamu wa kuiweka unasumbua au anasubiri kina Mwigulu na watu kama nyie mtoe mapovu ndipo awa prove failure you never know so stay calm mapovu hayatakusaidia chochote.
Huna hoja umeambiwa CD ziko mitaani yeye kashindwa ku upload wewe unaagiza uletewe kama chipsi tena kwa wakati unaotaka mwenyewe, ujinga huo.Mjinga huamini kila neno. Ndivyo ulivyo, mbona unamtetea kwa hoja dhaifu kiasi hiki. Kama ameshindwa kuiweka basi atutajie hata hiyo link tu mkuu, mada hii ameiweka hapa tangu jana. Tuache aina hii ya ushabiki ndugu yangu.
Huna hoja umeambiwa CD ziko mitaani yeye kashindwa ku upload wewe unaagiza uletewe kama chipsi tena kwa wakati unaotaka mwenyewe, ujinga huo.
Huna hoja umeambiwa CD ziko mitaani yeye kashindwa ku upload wewe unaagiza uletewe kama chipsi tena kwa wakati unaotaka mwenyewe, ujinga huo.