Kwa jeshi la polisi Tanzania

Kwa jeshi la polisi Tanzania

Homa la jiji

Senior Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
129
Reaction score
28
Kwa matukio ya kihalifu na mauaji ya mara kwa mara yanayosababishwa na jeshi la polisi hapa nchini, imekuwa ni mazoea kwa raia kuishia kulalamika tu bila kuchukua hatua za kisheria. Au kufanya maamuzi sahihi juu ya nini kifanyike baada ya tukio ushirikiano umekuwa hafifu baina ya raia unakuta mtu kafanyiwa ndivyo sivyo na polisi akianza kufuatilia ili polisi awajibishwe kisheria unakatishwa tamaa na raia waliokuwepo wakati wa tukio wanaanza kukwepa kutoa ushahidi kiukweli tubadilike tushirikiane kutokomeza maonezi na ubambikiaji wa kesi na mauaji yanayofanywa na jeshi la polisi kwa kuwafikisha wahusika mahakamani na sio kuishia kalalamika tu.
 
Ukiona mtu anaogopa kutoa ushahidi ili haki ipatikane,ujue

Hana uhakika na alichokiona au walichokifanya walalamikiwa(polisi) kilikuwa sawa.

Huwezi ogopa kutoa ushahidi kama mtu kaonewa.

Sent from my radio
 
Kwa matukio ya kihalifu na mauaji ya mara kwa mara yanayosababishwa na jeshi la polisi hapa nchini, imekuwa ni mazoea kwa raia kuishia kulalamika tu bila kuchukua hatua za kisheria. Au kufanya maamuzi sahihi juu ya nini kifanyike baada ya tukio ushirikiano umekuwa hafifu baina ya raia unakuta mtu kafanyiwa ndivyo sivyo na polisi akianza kufuatilia ili polisi awajibishwe kisheria unakatishwa tamaa na raia waliokuwepo wakati wa tukio wanaanza kukwepa kutoa ushahidi kiukweli tubadilike tushirikiane kutokomeza maonezi na ubambikiaji wa kesi na mauaji yanayofanywa na jeshi la polisi kwa kuwafikisha wahusika mahakamani na sio kuishia kalalamika tu.

We lazima unafanya shughuli zisizo halali kujiingizia kipato, ndio maana una bifu na polisi, maana ulichoandika hata hakieleweki.
 
Acha ujinga wewe huna ufahamu wakutosha juu ya matukio ndo mana unatetea maasi ya polisi jitambue watu wana athirika kwa matukio yao na wewe lzm na ni polisi
 
naona unaandika vitu vya imagination than reality hebu fafanua vizuri ni nani walihusika katika tukio lolote ulilokuwepo wewe halafu tuambie ulichukua hatua gani ikiwemo kulalamika kwa mamlaka husika
 
usitishie kesi ya kichwa hata wakinipa ya vichwa lzm ukweli ubaki palepale na simuoni wakunipa kesi ya kichwa najiamini na usiwe muoga kwa mambo ya msingi na akili zako usizigandishe kwa mambo ya msingi
 
mm naona ingekuwa bora sana ujibu hoja ya mkuu EJay ili twende kwa evidance zaid kuliko maneno ya kisiasa
 
Last edited by a moderator:
naona unaandika vitu vya imagination than reality hebu fafanua vizuri ni nani walihusika katika tukio lolote ulilokuwepo wewe halafu tuambie ulichukua hatua gani ikiwemo kulalamika kwa mamlaka husika

Ejay huwa yuko very sensitive kwenye kufatilia sana hoja zinazohusu jeshi letu la polisi safi sana mpaka rahaa tunaitaji watu kama hawa katika jeshi letuu linalochafuriwa na baadhi ya watu
 
Huyu hajielew na amekurupuka!! Kesi yoyote inayomuhusu askar kupiga mtu au kuua wanafikishwa mahakaman na kufukuzwa kazi!! Wewe ulipigwa ulkua wap na ukafungua kesi kituo gn na rb yako ni ip! Weka vielelezo hapo ili usaidiwe
 
Back
Top Bottom