kiuhalisia yaan sisi waswahili tuna tabia moja, dharau katika mambo ambayo yako active. Fikiria kwamba hili tatizo lingemkuta mdogo wako then mko watatu baina yako, yeye na mama na wote hamjiwezi kumudu hii hali halafu mnapokea majibu kama hayo, hv utahisi vipi katika nafsi yako? Mungu hakutuumba kwaajili ya kukashifiana na kupeana manenomakali bali ni kwa kupendana na kusaidiana. Pole micka.