spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,139
- 21,888
Uko sahihi ila kama wana bima NHIF atakatwa 3% of BS..take home itapungua kidogo.232,350/= loan board avg.15% of BS.
154,900/= NSSF 10% of BS.
+246,230/= PAYE: after BS - NSSF .
633,480/= Makato kwa ujumla
Pesa mkononi/benki:
1,549,000/= - 633,480/= = 915, 520/=
Take home avg: 915, 520/=
Kama hakuna nyongeza ya malupulupu mengine au makato ya chama cha wafanyakazi au mambo yahusuyo misiba.
NB: BS.=Basic sarary
18 ya gross au net?Mara kumi na nane yake.Piga hesabu.
Mbona sio hata mnonoLengo lako ni kutuonesha kuwa umepata kazi yenye mshahara mnono wa shs. 1,549,000/=, hongera boss.
Hivi hii formula ya ukipata kazi nunua kiwanja > Jenga nyumba > nunua gari ililetwa na nani hapa bongo land??Huu mshahara binmkubwa Sana kijanaa acha umalaya nunia kiwanja Cha kwanza Kisha gari ifate
Sijui elimu yako imekukomboa kifikra au bado! Kuna statutory deduction ya PAYEE! Kuna mifuko ya hifadhi ya jamii (5, au 10%) baasi ambavyo uanaweza ukatafuta ukapata bila kusumbua watu! Kama ulisoma kwa mkopo wa serikali punguza 15%.Hello wajuvi nimepewa offer huko private sector naomba mnisaidie calculation ya takehome kwa huu mshahara.
1,549,000/=
Nadaiwa Heslb
Nataman kufanya hvo, ila laki8 kwa mwezi haitaishia kula, kuvaa na kusafiri kweli?Huu mshahara binmkubwa Sana kijanaa acha umalaya nunia kiwanja Cha kwanza Kisha gari ifate
Jumla ya deni ni kama 5M...inaweza chukua mda gani kulimaliza?Wakati ukiwa Chuo una pewa hela za HELSB bodi ya mikopo.... Ulidhani ule ni nchango wa harusi wanakupa!? Ama zile hela zilikuwa zinatoka mfukoni mwa babayako!?
Zile ni hela za watu!... Ulizotumia kupata elimu... Sasa elimu unayo... Itumia hiyo elimu kwa Ajira iliyokupa , kurudisha pesa hizo!... Isikuume!
Jaribu kupunguza pombe inawezekana. Au uwe unanywea kwa mangi kule hutumii hela nyingi, ukienda na 20,000 asubuhi unaiona na chenji yako.Eh kumbe natakiwa na maendeleo mengi aisee naona wengi mmesema hio hela ni nyingi
Mimi Take home inazidi hapo ila tarehe 18 tu Sina kitu
Pombe inanimaliza
Kuna jamaa namjua analipwa 12M ila katikati ya mwezi hana kituEh kumbe natakiwa na maendeleo mengi aisee naona wengi mmesema hio hela ni nyingi
Mimi Take home inazidi hapo ila tarehe 18 tu Sina kitu
Pombe inanimaliza
Na nioeJaribu kupunguza pombe inawezekana. Au uwe unanywea kwa mangi kule hutumii hela nyingi, ukienda na 20,000 asubuhi unaiona na chenji yako.
Hello wajuvi nimepewa offer huko private sector naomba mnisaidie calculation ya takehome kwa huu mshahara.
1,549,000/=
Nadaiwa Heslb
Kwani mangi na Sinza pazuri wanatofatiana bei au?Jaribu kupunguza pombe inawezekana. Au uwe unanywea kwa mangi kule hutumii hela nyingi, ukienda na 20,000 asubuhi unaiona na chenji yako.
Hapo nimeround off tu...lakini iaendelea mpaka visenti.Why..... 549.... Ni ushirikina? , that's very odd number as basic salary, or a phantasy
Hapo nimeround off tu...lakini iaendelea mpaka visenti.
Take home mara nyingi ni 70% ya grossHello wajuvi nimepewa offer huko private sector naomba mnisaidie calculation ya takehome kwa huu mshahara.
1,549,000/=
Nadaiwa Heslb
Unakunywa pombe qari au hizi local beers??Eh kumbe natakiwa na maendeleo mengi aisee naona wengi mmesema hio hela ni nyingi
Mimi Take home inazidi hapo ila tarehe 18 tu Sina kitu
Pombe inanimaliza
Zipi zinamaliza mpunga?Unakunywa pombe qari au hizi local beers??
Gross.18 ya gross au net?