Yap mkuu hata mimi second choice ni advanced then combination PCM au PCB nbut iv kuna tofaut gani kati ya atakechaguliwa advance na tech??
Thanks nimekuelewa,kwa mtazamo kati ya PCM na PCB ipi msuli wake ni hatari??
Thanks nimekuelewa,kwa mtazamo kati ya PCM na PCB ipi msuli wake ni hatari??
hata m nlijaza tech lkn can uhakika wa kuchaguliwa haisee tupo wng wenye mawzoMkuu ulijaza tech au advance?
sor wajamen hv kwa
mtu mwnye 4 pnint 26 mwaka jana akaomba dit ifanye acces course anaweza
kupata
sor wajamen hv kwa mtu mwnye 4 pnint 26 mwaka jana akaomba dit ifanye acces course anaweza kupata
DDC ya PCM unasoma access course ambayo kwa DIT wanaiita Pre-entry
.
Na ndiyo sababu kubwa ya wao kufanya hivyo!
.
Nenda mkuu ila ukawe unawapita wasichana wote kwenye faculty yako!
.
Usipofanya hivyo itakupa tabu!
mimi ph-c, chem-c but namba nkapata d with all remained subjects
bro sor sijakupata yan kwny hyo pre entry nkawapte waschana wote
bro sor sijakupata yan kwny hyo pre entry nkawapte waschana wote
Jawabu kwa wote:
1. Kama umefaulu vizuri na ukapata credit 3 kwenye masomo ya PCM na endapo ulijaza tech kama chaguo la kwanza utapelekwa tech.
2. Kama ulijaza advanced level kama chaguo la kwanza utapelekwa advanced level.
Ushauri kwa mleta mada:
Anza kujiandaa kwa kuzingatia hizo condition mbili hapo juu nilizoeleza.
Ndo hvyo jaman nami nina B+ya math,C ya chem, na D ya phys je wanaweza nichagua ?
.
Hawawezi mkuu!
.
Physics = A, B+, B, C
mathematics = A, B+, B, C
Chemistry = A, B+, B, C
.
Ndivyo ilivyo mkuu na kwenda kule ni probability pia!