Kwa hiyo hawa 3 ni tofauti na wale mizigo saba?

shabani

JF-Expert Member
Apr 3, 2009
309
250
Hapa ndipo huwa nawashangaa washauri wa na Rais wetu mwenyewe, unafukuza mawaziri watatu, mmoja kajiuzulu mwenyewe na wengine saba amewahoji na kamati yake ya chama, sasa kwanini asitangaze tuu baraza jipya la mawaziri na kutuepusha kukaa bila mawaziri kwa muda hadi atakaorudi toka kula BATA huko kwa OBAMA. kwaharakahara hivi sasa nchi haina mawaziri 11, maana wale 7 na hawa 4 jumlisha na mkuu wao wote hawana tena amani ya kufanya kazi na wengine tayari wapo nje ya uwaziri.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom