Kwa HIV/ AIDS Specialist

Kwa HIV/ AIDS Specialist

Kkasagala

Member
Joined
Apr 29, 2020
Posts
13
Reaction score
9
Nisaidieni nahitaji kujua inamchukua muda gani alieathirika na HIV kuanza kuambukiza wengine endapo atajamiiana, I mean toka alipoambukizwa yeye na hadi yeye aanze kuambukiza wengine endapo aidha watajamiiana au kwa njia nyingine yeyoye.

Nahitaji kujua endapo virus wa HIV wanapomuingia MTU kwa Mara ya kwanza wadudu hao hupitia hatua zipi, he wanahitaji kukomaa,kutaga mayai, kuzaliana kwao ni kupi nk.

Msaada tafadhali!
 
Back
Top Bottom